Bwashekhee hii ni vita ya wachaga na vyama vyao vya kichaga,Sasa watu wamewaonyesha vidole vya ukabila ndo wameongeza makabila ambayo mwenyekiti wa Sacco's zao hajayataja .
Humu hata wanaoongoza vita ya ukabila kuwaita wenzao SULUMA GANG ni wachaga kabisa,Wacha waendelee kupanda mbegu ya chuki ya ukabila wakiamini watapona mbele I.
..mbegu ya ukabila na udini ilipandwa na ccm.
..kuna chama kilianzishwa na John Cheyo kinaitwa UDP.
..CCM walikipiga vita kwa kudai ni chama cha kikabila cha Wasukuma.
..CUF nao walipakaziwa kuwa ni chama cha Kidini cha Waislamu wenye siasa kali.
..Wakati huo CDM kilikuwa dhaifu hivyo hakikupigwa vita.
..Chama chochote kikionekana kinakua kwa kasi lazima CCM wakipakazie kwa propaganda chafu.
..Sasa hivi propaganda za CCM zimeanza kuleta migawanyiko ktk jamii.