masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
We jamaa ni kakabilaHili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
Hujui kitu weweUchaggani hadi Augustino Mrema alipata uteuzi japo mpinzani.
Mbeya akina Mwakyembe nk nk
Wahaya ndio usiseme Mwijage, Tibaijuka, Bashungwa nk nk
Jamani sasa tutafanyaje na ameshaenda, ameenda mbali hatutaweza kumconfront hata tumuulize kwa nini alifanya vile, basi maisha yaendeleeHili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
Muongo mkubwa wewe, Mwakalinga, Mwakyembe, Mwamunyange na wengine wengi uliwateaua wewe? nahao ni wa Kyela tu.Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
Nitatoa mfano mmoja hai. Jaji Mstaafu Mihayo yuko kwenye Tume ya Uchaguzi kama mjumbe; ni Mwenyekiti wa Bodi ya Watalii sijui kama anaendelea na wadhifa huo baada ya matumizi mabaya ya fedha; mwenyekiti wa Vodacom ambayo inafanya vibaya sana siku hizi hasara tupu!!! Huo ndio ulikuwa upendeleo wake kwa wasukuma!!! Sijagusia huko mahakamani alikojaza wasukuma wenzie kila level!!!Hilo halina ubishi, haswa wanyakyusa, wahaya na wachagga walichukiwa sana! Hata sisi wa makabila mengine tuliliona hili wazi wazi wenzetu wakitengwa! Ingawa kwa ujumla alipendelea sana wasukuma!
Hilo lipo wazi wasukuma ndo walikuwa wanakula keki ya Taifa!,
Sasa ulitaka amteue Kinanasi?Hujui kitu wewe
Muongo mkubwa wewe, Mwakalinga, Mwakyembe, Mwamunyange na wengine wengi uliwateaua wewe? nahao ni wa Kyela tu.
Mkuu mwenda zake mungu anamuona ,aliamini fanya chato kua jiji, na watakaoshiriki tengeneza mkoa wa chato wajue hawako salama asema bwana ,hawataki basi full stopHili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
Nchi ilikuwa matopeniHili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
MkweliUchonganishi wa namna hii kupitia mitandao ya Kijamii ndio ulifanya nchi Kama Rwanda ikaingia kwenye Vita vya kikabila1994.
Mtoa maada ni mchonganishi 100%. Nna watu kadhaa nnaowafahamu kwenye hayo makabila uliyotaja ambao waliajiriwa serikalini na taasisi zake Kati ya 2015-2020.
Istoshe Mimi ni mmojawapo wa mtu kutoka kwenye hayo makabila uliyoyataja na nimeajiriwa serikalini. Sijawahi kusikia Kiongozi yeyote akisema mtu toka makabila tajwa asiajiriwe.
Kama Uhuru tulikuwa tunautaka ndio huu, afadhali turudi enzi za Magu tuminywe tu.
To be honestUchonganishi wa namna hii kupitia mitandao ya Kijamii ndio ulifanya nchi Kama Rwanda ikaingia kwenye Vita vya kikabila1994.