Magufuli aliwakosea nini Awamu ya 5 kipindi Cha pili?

Wajinga jina la stendi ya Magufuli liko mioyoni mwa watu halitofutika aibu yao kutaka kufuta legacy iliyoandikwa kwa chuma cha moto
 
Waambie digba sowey Idugunde Nigrastratatract nerve johnthebaptist FaizaFoxy na ChoiceVariable kwamba wewe sio CHADEMA
 
Ongeza ni hili "muuaji na mzinzi wa akina jokate"
 
Rasilimali zipi alizolinda.
Bandari, na ndiye aliyeleta muswada wa ulinzi wa Raslimali zetu Bungeni, na Kwa kiasi kikubwa, SHERIA Ile ndiyo imesaidia Sa100 asiuze Kila kitu.

Magu tunakukumbuka sana.

Na Mungu ikikupendeza, tuletee mwingine aina ya Magu, mzalendo.
 
Mpenda watu isipokuwa watumishi wa serikali kwa kuwapora stahili zao za kisheria
 
Hayo ongeza wewe,

Mimi namtambua Magu mzalendo, mchapakazi, Mlinzi wa raslimali za nchi.
Dunia hii hakuna mtu mkamilifu lazima awe na mazuri na mabaya pia, sasa wewe kama hutaki kusikia mabaya yake basi nawe una kasoro yako
 
Bandari, na ndiye aliyeleta muswada wa ulinzi wa Raslimali zetu Bungeni, na Kwa kiasi kikubwa, SHERIA Ile ndiyo imesaidia Sa100 asiuze Kila kitu.

Magu tunakukumbuka sana.

Na Mungu ikikupendeza, tuletee mwingine aina ya Magu, mzalendo.
Unamkumbuka wewe, usiwasemee watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…