Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamu yetu masikini tunapiga yowe. Wewe ndio miongoni mwa hao matajiri wakubwa aliochukua hela zenu Kwa nguvu?
Kwani wakati wa Magufuli hao unaowaita masikini walikuwa hawalipi?
Kama walilipa iweje sasa hivi kuwe na malalamiko?
Watu wanapenda maendeleo lakini hawataki maumivu ya maendeleo,
Kila mtu achangie maendeleo ya nchi,
Wafanyakazi na wafanyabiashara ndio walizoea kulipa Direct Tax sasa watu wa chini ni zamu yetu
Sawa tajiri.
Kwani kwenye wafanyakazi na wafanyabiashara hakuna watu wa chini? Unataka kutuambia ni wafanyabiashara wakubwa pekee ndio walikuwa wanalipa Kodi nchi hii?Kama walilipa iweje sasa hivi kuwe na malalamiko?
Watu wanapenda maendeleo lakini hawataki maumivu ya maendeleo,
Kila mtu achangie maendeleo ya nchi,
Wafanyakazi na wafanyabiashara ndio walizoea kulipa Direct Tax sasa watu wa chini ni zamu yetu
Kwahio na wewe masikini Una tabia za wanawake?Mimi sio Tajiri Ila naangalia Haki.
Masikini wanatabia za WANAWAKE.
Wakiguswa nao wawajibike wanalalamika,
Wanapenda kufanyiwa kila kitu. Hiyo ndio tabia ya Masikini na wanawake, wanafikra za utegemezi na Kupenda vya Bure
Wanalalamika kwa sababu wanaona kodi zimewazidia na maisha yanazidi kuwa magumu, ni kawaida, vinginevyo wasingelalamika!
Hauendani na comments za kishamba kama hizi. Halafu we ni mtu mzima haunuki maziwa.Alichukua Kwa Wafanyabiashra wakubwa kinguvu.
Masikini wakawa wanacheka cheka.
Sasa zamu yenu mnapiga YOWE!
Hii inaitwa Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu.
Kila mtu akatwe Kodi, iwe Masikini iwe tajiri.
Kuwa Masikini sio exceptional ya kutokulipa Kodi.
Tozo ziendelee mpaka fikra za Kupenda maisha ya bure ziishe.
Kupenda kufanyiwa fanyiwa!
Muhimu; Serikali itumie Kodi vizuri, mafisadi na wezi wa Mali za umma watungiwe sheria Kali.
Sio mitozo iwe mingi alafu kuna watu wanaitafuna kimagendo. Hiyo haiko Sawa.
Kwahio na wewe masikini Una tabia za wanawake?
Hauendani na comments za kishamba kama hizi. Halafu we ni mtu mzima haunuki maziwa.
Taikon wakati wa Magufuli hizo asilimia 10 za Kodi masikini walikuwa hawazilipi?Hakuna nchi yenye hofu ya Mungu Hilo tuliweke Sawa.
Pili, hakuna nchi iliyoendelea ambayo watu Masikini hawalipi Kodi.
Kodi inakatwa Kwa percentage,
Ukitoa 10% ya elfu na aliyetoa 10% bilioni moja wote ni Sawa mmechangia nchi Kwa uwezo wenu.
Lakini sio usitake kutoa Kodi kisa umasikini, labda uwe Mzee, mtoto, au mgonjwa.
Hutaki kutoa Kodi Acha kuishi, rahisi Sana.
Alafu mtu Kodi hataki kutoa kisingizio umasikini wake lakini kuzaa watoto wengi yeye, kuoa wake wengi yeye, kunywa pombe Yeye,
Kama anapata pesa za hayo, iweje akose Tsh 100 ya Kodi Kwa ajili ya nchi yake ambayo anaishi Kwa Amani.
Au anafikiri ulinzi na usalama ni Bure?
Niliwahi kusema, Kama hatutavamia mataifa mengine basi option tuliyobakiwa nayo ni kukamuana Sisi Kwa Sisi.
Taikon wakati wa Magufuli hizo asilimia 10 za Kodi masikini walikuwa hawazilipi?
Uyasemayo yana ukweli ni haki ya kila mtu kulipa kodi lakini serekali imewawezesha kwa kiwango gani wananchi wake katika maisha yao kuweza kulipa kodi au watu walipe kodi bila kujua uwezo wao wakati kwa sasa kilo 1 ya unga sembe inakaribia 2000.Alichukua Kwa Wafanyabiashra wakubwa kinguvu.
Masikini wakawa wanacheka cheka.
Sasa zamu yenu mnapiga YOWE!
Hii inaitwa Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu.
Kila mtu akatwe Kodi, iwe Masikini iwe tajiri.
Kuwa Masikini sio exceptional ya kutokulipa Kodi.
Tozo ziendelee mpaka fikra za Kupenda maisha ya bure ziishe.
Kupenda kufanyiwa fanyiwa!
Muhimu; Serikali itumie Kodi vizuri, mafisadi na wezi wa Mali za umma watungiwe sheria Kali.
Sio mitozo iwe mingi alafu kuna watu wanaitafuna kimagendo. Hiyo haiko Sawa.
A. Kutokuajiri graduates ata kwa uchache san -> Baaad.
B. Kama alivyosema ROBERT HERIEL apo juu i.e unyan'anyi ridiculous Robbin Hood stuff
C. Faking, faking and faking
Uyasemayo yana ukweli ni haki ya kila mtu kulipa kodi lakini serekali imewawezesha kwa kiwango gani wananchi wake katika maisha yao kuweza kulipa kodi au watu walipe kodi bila kujua uwezo wao
Kupora fedha za wafanyabiashara wakubwa ndiyo ugenius huo?Acheni za uroho na ubaguzi yule alikuwa shetani mla watu.Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?
Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara, kujenga Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Bandari, Airports, kununua ndege na kufufua shirika la Airtcl, kujenga na kuweka Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, kujenga Madaraja kama mto Wami hapo hapo kujenga Dodoma kama Mji Mkuu?
Nijibuni aliweza vipi ? Magufuli was a genius, sasa hivi vilio kila mahali na ndio mwanzo tu, …