Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Mbowe ndio kabisa alimchukua Wema Uwanja wa Taifa kuiona mechi ya Yanga na Simba. Yaani alimsahau hata mke wake, duh!
Hata huyu naye ni kiongozi swali ni hawa viongozi busara na hekima viko wapi? Alisema Mzee Mwinyi nchi inaendeshwa bila usukani hakukosea.
 
Na kuwalipa hataki anadai ni madai hewa waende kwa Kikwete! Kweli tenda wema uende zako usingoje shukrani.
CCM sio watu kama wanamzungusha kumlipa mke wa Komba kumlipa sikushangaa kwa Wema
 
Reactions: BAK
Chama cha wahuni na majambazi hiki. Wanadhulumu haki za mamilioni ya Watanzania mchana kweupe! Wakati huo huo yanagawana rushwa ili kuminya uhuru wa habari nchini.

CCM sio watu kama wanamzungusha kumlipa mke wa Komba kumlipa sikushangaa kwa Wema
 
Wasanii wa Tanzania ni shida tu, hawana la maana Zaidi ya kutumiwa n kutupwa jalalani. Msanii kama hujitambui ni vigumu kuthaminiwa.
 
Kwa kumtaja mkutanoni hajamdiss. Angemdiss wala asingemuongelea
 
"Nyinyi mlio hapa ndiyo wasanii wazuri siyo wale wanaochukuliwa na upande ule kule" - Magufuli

Neno moja kwao wasanii hawa.

Source Eatv
 
Ameweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
Nenda mahakamani kama kweli una uchungu na nji hii.
 
Wewe una hekima gani?? Au kuwa nyuma ya kikeyboard yako??
Hebu utuambie ukweli hapa. Tangu uanze kumfahamu yule bwana na neno gani LA busara na lilojaa hekima alilowahi kulitoa kinywani mwake?
Weka mahaba na ushabiki pembeni na usiwe mnafiki. Wapi na lini ulisikia maneno ya hekima kutoka kwake na lichama lenyewe?
Ccm mwafa!
 
rais ana deal na vitu vidogo vidogo badala atuambie miaka miwili yupo madarakani kazalisha ajira ngapi amekalia kupiga madongo kina Bi Wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…