Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Hata huyu naye ni kiongozi swali ni hawa viongozi busara na hekima viko wapi? Alisema Mzee Mwinyi nchi inaendeshwa bila usukani hakukosea.Mbowe ndio kabisa alimchukua Wema Uwanja wa Taifa kuiona mechi ya Yanga na Simba. Yaani alimsahau hata mke wake, duh!