Nenda NBS broo kuna annual publications pale. Syo kila kitu rais akuambie.rais ana deal na vitu vidogo vidogo badala atuambie miaka miwili yupo madarakani kazalisha ajira ngapi amekalia kupiga madongo kina Bi Wema.
sina huo muda.Trump siku 100 madarakani ajira laki 2 hata sisi wa Tandale tumejuwa. wewe unataka niende NBS kufanya nini?Nenda NBS broo kuna annual publications pale. Syo kila kitu rais akuambie.
But by the way huo ni mkutano wa chama, Mambo ya urahis hayapo hapo?
Magufuli akiwakaribisha wasanii kwenye mkutano wa CCM Dodoma aliwasifu kuwa ni wasanii wazuri na sio kama yule mwingine aliyehamia upande wa pili
sina huo muda.Trump siku 100 madarakani ajira laki 2 hata sisi wa Tandale tumejuwa. wewe unataka niende NBS kufanya nini?
Kumbuka ni ajira 200000 kwa raia milion 300.sina huo muda.Trump siku 100 madarakani ajira laki 2 hata sisi wa Tandale tumejuwa. wewe unataka niende NBS kufanya nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania ajira mpya zimetengenezwa nyingi
I wonder. Tuna mengi ya kujadili kama nchi, sio bongo movie mmoja kuhama chama!Ukitakata kujua nchi imevaa gunia ni kwa maongezi ya huyu bwana. Sasa Wema ndio wakumzungumzia yaani kiongozi wa nchi unasumbuka na watoto wadogo kweli? Safari ya huyu bwana ni ndefu sana kufikia kujitambua. Sio kila jambo la kulizungumzia busara na hekima vipo wapi?
Ukitakata kujua nchi imevaa gunia ni kwa maongezi ya huyu bwana. Sasa Wema ndio wakumzungumzia yaani kiongozi wa nchi unasumbuka na watoto wadogo kweli? Safari ya huyu bwana ni ndefu sana kufikia kujitambua. Sio kila jambo la kulizungumzia busara na hekima vipo wapi?
janga gani mkuuuAmeweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
Mimi sio kiongozi lakini hekima ninayo. Wewe umeandika ndani au nje ya keyboard?! Sio kila habari uchangie. Rudi shule kajifunze kuspell neno jepesi keyboard ndipo urudi Kuchangia. Ungesema kikeyboard chako sio kikeyboard yako. Lugha zote mbili matatizo rudi shule &$mbafu.Wewe una hekima gani?? Au kuwa nyuma ya kikeyboard yako??
Nenda mahakamani kama kweli una uchungu na nji hii.
Kimemuuma bobMagufuli akiwakaribisha wasanii kwenye mkutano wa CCM Dodoma aliwasifu kuwa ni wasanii wazuri na sio kama yule mwingine aliyehamia upande wa pili