Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Inashangaza,kwamba anazungumzia Wema,Lakini ameshindwa kusema chochote juu ya Bashite.
 
rais ana deal na vitu vidogo vidogo badala atuambie miaka miwili yupo madarakani kazalisha ajira ngapi amekalia kupiga madongo kina Bi Wema.
Nenda NBS broo kuna annual publications pale. Syo kila kitu rais akuambie.
But by the way huo ni mkutano wa chama, Mambo ya urahis hayapo hapo?
 
HV wema anafanyaga kazi gani za sanaa ck hz
 
Nenda NBS broo kuna annual publications pale. Syo kila kitu rais akuambie.
But by the way huo ni mkutano wa chama, Mambo ya urahis hayapo hapo?
sina huo muda.Trump siku 100 madarakani ajira laki 2 hata sisi wa Tandale tumejuwa. wewe unataka niende NBS kufanya nini?
 
sina huo muda.Trump siku 100 madarakani ajira laki 2 hata sisi wa Tandale tumejuwa. wewe unataka niende NBS kufanya nini?
Kumbuka ni ajira 200000 kwa raia milion 300.
Tanzania ajira mpya zimetengenezwa nyingi tu tang magufuli aingie kazin but bikoz ya huo mhemko huwez kuona.

Pia lazima ujue size ya uchumi wa marekan na wa tz. Soo trump na Magufuli wapo kwenye nchi tofaut moja masikin zaid nyingine tajiri zaid so do not compare.

Nne unatakiwa ujue hzo ajira zinatokana na foreign policy ya USA dhid ya immigrants.

So get the facts first kabla hujaja kuropoka kuhusu ajira lakimbili hapa.
 
Huyu naye hamnaa cha kiwonder wala ajira anahangaika na wema [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
7f289331f53ffb1ce6379ab4ac17bd42.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukitakata kujua nchi imevaa gunia ni kwa maongezi ya huyu bwana. Sasa Wema ndio wakumzungumzia yaani kiongozi wa nchi unasumbuka na watoto wadogo kweli? Safari ya huyu bwana ni ndefu sana kufikia kujitambua. Sio kila jambo la kulizungumzia busara na hekima vipo wapi?
I wonder. Tuna mengi ya kujadili kama nchi, sio bongo movie mmoja kuhama chama!
 
Huyu mtu sijui nani amemloga badala ya kuwaza namna ya kutimiza ilani yake anawaza mambo ya Wema Sepetu na Lowasa miaka mitano itaisha bila yeye kufanya maendeleo yoyote zaidi labda majungu
 
Ukitakata kujua nchi imevaa gunia ni kwa maongezi ya huyu bwana. Sasa Wema ndio wakumzungumzia yaani kiongozi wa nchi unasumbuka na watoto wadogo kweli? Safari ya huyu bwana ni ndefu sana kufikia kujitambua. Sio kila jambo la kulizungumzia busara na hekima vipo wapi?

Hacha mambo yako wewe,tatizo wema kahama kimajungu tu.
 
Kiongozi mkubwa kushughulika na ishu ndogo hivi ni balaa na ndo mwanzo wa roho ya visasi inapoanzia hapa,
Hivi wema nae ni wa kufia hatua uhamaji wake iwe jambo la yy kusema?
Mhh jamaa anaroho ya kipekee
 
Magu anazidi changanyikiwa Akigeuka huku lowasa,huku wema,huku bashite,kule ccm.huku 2020 inampumulia.kazi ipo baba
 
Wewe una hekima gani?? Au kuwa nyuma ya kikeyboard yako??
Mimi sio kiongozi lakini hekima ninayo. Wewe umeandika ndani au nje ya keyboard?! Sio kila habari uchangie. Rudi shule kajifunze kuspell neno jepesi keyboard ndipo urudi Kuchangia. Ungesema kikeyboard chako sio kikeyboard yako. Lugha zote mbili matatizo rudi shule &$mbafu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
"………bahati nzuri nyinyi ni wale wasanii wazuri sio wale wanaochukuliwa na wale wa upande ule" Magufuli, John Pombe
 
Acha ujinga wewe! Mwinyi aliyesema nchi inaenda kama gari bovu haina usukani, Warioba aliyesema nchi imepoteza mwelekeo na Butiku aliyesema Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania mbona wote hawa hawajaenda mahakamani!?

Nenda mahakamani kama kweli una uchungu na nji hii.
 
Back
Top Bottom