Usisahau pia kuiombea na familia yako, ndugu, jamaa, marafiki, wagonjwa na wengine wenye mahitaji muhimuNaumia sana, nateseka moyoni mwangu, Mungu tenda jambo juuvyake. Wewe ni mtakayifu, Mungu tunakusihi juu ya afyavyake. Mungu simama upade wetu
Huenda wanakoroma mida hiiMods wamelala?
Ungefungua uzi kabisa ingependeza zaidiHabari nzuri iliyotufikia ni kwamba baba na mama wa mtoa uzi huu Kiraka Kikuu mjukuu wa Kibaka Mkubwa wamefariki kwa kupigwa na watu wenye hasira baada ya kuiba kuku na mahindi.
Adui muombee mema tuAs much as ni mpinzani wetu, hatujafikia Levo ya kumuombea kifo!
Nawaombea Mungu awabariki. Why ? Nahisi kufa jamaniUsisahau pia kuiombea na familia yako, ndugu, jamaa, marafiki, wagonjwa na wengine wenye mahitaji muhimu
Mods wote wanawezaje acha habari kama hii kwa lisaa..Najisikia vibaya sana na nakosa kuamini kinachotokea
Mungu aliye hai akupe amaniNiache kwanza, moyo wangu ni muzito sana
Tuache Mihemko,Kama ni kweli anamaanisha ni Rais Magufuli amekufa basi aedit na kuandika Rais John Pombe Magufuli..Mtoa mada punguza Upumbavu..Rais niko naye hapa na ni mzima.Uzi ni tetesi....
Na anayetajwa ni Magufuli....
Nadhani kina Magufuli wako wengi, mleta mada hajawa specific...
Tuendelee kuwa na moyo wa subira
Moderator yupo mmoja tuu na atakua amelalaNajisikia vibaya sana na nakosa kuamini kinachotokea