Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Status
Not open for further replies.
Naumia sana, nateseka moyoni mwangu, Mungu tenda jambo juuvyake. Wewe ni mtakayifu, Mungu tunakusihi juu ya afyavyake. Mungu simama upade wetu
Usisahau pia kuiombea na familia yako, ndugu, jamaa, marafiki, wagonjwa na wengine wenye mahitaji muhimu
 
Kama wewe ni mwana maombi ungana nami kumuombea Magufuli, kifo kikaepushiwe mbali. Naomba wana maombi tushirikiane pamoja tafadhali. Mungu wa mbingunibatuepushie hili
 
Mataga mbona mnapaniki hivyo , wakati mtu anaenda kuwa malaika mkuu cheo alichokililia kwa muda mrefu sana .
 
Yote haya halafu kesho asubuhi munamuona na mkasi wake akizindua miradi na akizishutumu barakoa vilevile
 
Uzi ni tetesi....

Na anayetajwa ni Magufuli....

Nadhani kina Magufuli wako wengi, mleta mada hajawa specific...

Tuendelee kuwa na moyo wa subira
Tuache Mihemko,Kama ni kweli anamaanisha ni Rais Magufuli amekufa basi aedit na kuandika Rais John Pombe Magufuli..Mtoa mada punguza Upumbavu..Rais niko naye hapa na ni mzima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom