Magufuli amhukumu mtuhumiwa wa UVCCM aliyeko mahakamani

Magufuli amhukumu mtuhumiwa wa UVCCM aliyeko mahakamani

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,507
Reaction score
2,412
"Ninapozungumza hapa tu, pamoja na kwamba sitakiwi kuhukumu, mwenyekiti wenu wa Umoja wa Vijana yuko rumande kwa kushikwa na rushwa. Huo ndio Umoja wa Vijana tuliokuwa tunaenda nao."

Sasa kama unajua hutakiwi kuhukumu mbona unahukumu?????

index.jpg
 
Hapo kahukumu nini sasa, Au mimi ndiye sijui kusoma fasihi?
 
Unaweza kuwa ndani ya family yetu na unatabia sawa na sisi tuliorithi kutoka kwa baba ila sisi tukafanya ya desturi yetu baba akatupongeza ila wewe damu ya baba imekukataa, ukifanya yalio desturi yetu baba anakuchapa na kukwambia unaharibu dunia yetu hairuhusu hayo hasa katika familia yetu ni kosa kubwa.
 
Watu mnakosa cha kuandika, Sasa hapo rais kamhukumu nani? Au hujui maana ya hukumu?
 
Huyo jamaa kwenye picha amekua kama shetani. Achana na kushughulikiwa asee.
 
Back
Top Bottom