Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia leo amemuamrisha RPC wa dodoma
Hivi mtu wa type hii hata asiyejua mipaka yake ana maana kweli?
Mkuu Tatizo Watanzania Tunafanya Vitu Kwa Mazoea Na Esp Pale Tunapoongozwa Na Mtu Mpole Asiyejua Kukemea Na Kunyooshea Kidole Ndo Kabisaa Kila Mtu Anajiona Bosi.Hembu Angalia Uongozi Wa Mkapa Na Jakaya,mkapa Atleast Alikuwa Mkali Maendeleo Kidogo Tukawa Tunayaona Njoo Kwa Jakaya Angalia Upole Wake Ulivofanya Watumish Wa Serikali Kuwa Jeuri.Tunamhtaji Rais Anaekemea.
The worst part ya style hii ya uongozi ni wale watu 'the best brain' kukukimbia
watu hawapendi kufanya kazi kwa mtu wa kufoka foka na kushusha tuhuma na kukuumbua mbele ya watu wadogo kwako
atapata watu wa kujipendekeza na kumlamba miguu...serious people hawatapenda kufanya nae kazi...
Amuulize Mkapa alivyo mbembeleza Daudi Balali aje kuwa governor .....
[/COLOR][/B]
Na yaliyomkuta Balali baada ya kuoverstay akajikuta kwenye himaya ya akili ndogo.
BTW, hata yeye hatapenda kufanya kazi na watu wenye uelewa kuliko yeye. He will not be comfortable. Angalia kufanya kampeni na Bulembo ni kwa sababu wana IQ sawa. Haya tumeona haya katika awamu inayoisha na nchi ilikotumbukizwa.
Ccm out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Magufuli atachanganyikiwa pale atakapogundua ccm wote mpaka jk na mkewe janeth wako kwa Lowasa.
Hajui hata tofauti ya mgombea urais na Rais..
anaanza kutoa order kama keshakuwa Rais
na mtu yeyote anaetoa order jukwaani ujue huyo mtu ni bogus
sababu angemuuliza chemba mhusika pengine angepewa majibu na kujua tatizo lilipo
Eti anaagiza maji yaanze kutoka kabla hajaapishwa..sasa kama pesa za mradi
hazijafika halmashauri wafanyeje?
Yaani hivi unavyosema wewe ndo Waganda wengi walikuwa wanasema
mwanzoni Iddi Amin alipokuwa Rais.....i am sure unajua yalipoishia
Wape makavu. Hii nchi si ya urafiki toboa. Hapa kazi tu.
Alishawah kusema kuwa Maige alifanyiwa zengwe na Lembeli ili atoke kwenye uwaziri kwakua Lembeli alikuwa akiutamani uwaziri-Haya aliyaongea kwenye kampeni.....Ni kiongoz asiependa unafiki ukikosea hataki kukaa na kitu moyoni unachukua stahik yako maisha yanasonga na ndo imetoka hiyo hii imekaa poa
Mkuu Umesahau Na Lowassa Kule Mwanza Alivomuagiza Wenje,usijaribu Kumkwepa Na Lowassa Pia
Kwanini Utolee Mfano Iddi Amin Wa Miaka 90 Na Sio Mkapa Wa Juzi Juzi Hapa Na Tena Wa Nchini Kwetu Ambae Ni Design Ya Magufuli?
Tingatinga la M@buaHajui hata tofauti ya mgombea urais na Rais..
anaanza kutoa order kama keshakuwa Rais
na mtu yeyote anaetoa order jukwaani ujue huyo mtu ni bogus
sababu angemuuliza chemba mhusika pengine angepewa majibu na kujua tatizo lilipo
Eti anaagiza maji yaanze kutoka kabla hajaapishwa..sasa kama pesa za mradi
hazijafika halmashauri wafanyeje?
Walizoea Kikwete Akisemea Ndani Ya Chama,walizoea Kikwete Kuwabeba Marafiki Zake Kwa Kutowaambia Ukweli,sasa Wajiandae..Magufuli Hana Haja Ya Kuita Kikao Ili Akwambie Unapewa Za Uso Huku Wananchi Wote Wanakuona Live,anakuacha Uugulie Kivyako.Kikwete Si Mpole? Huyo Hapo Magufuli Ambaye Anang'ata Tu Hajui Kupuliza....!!
Magufuli atachanganyikiwa pale atakapogundua ccm wote mpaka jk na mkewe janeth wako kwa Lowasa.
:doh: Humu ndani HUMUUUUU[/COLOR][/B]