Elections 2015 Magufuli amshushia tuhuma Job Ndugai, amtahadharisha kuunga mkono kauli za Lowassa

Elections 2015 Magufuli amshushia tuhuma Job Ndugai, amtahadharisha kuunga mkono kauli za Lowassa

Iddi Amini ndio mfano mzuri wa kiongozi mpenda Masifa...
Magufuli hajawa Rais bado hatuwezi sema atafanana na Mkapa au Iddi Amini..
so mfano wa Iddi Amini ndo unafaa now ili ujumbe umfikie ajirekebishe
we fear the worst...na the worst ni 'Iddi Amin style'

Lakini Kumbuka Iddi Amin Hakuwa Rais Kwa Kupigiwa Kura.Pili Alikuwa Ni Mwanajeshi Asiyekuwa Na Enough Education Kwahyo Kila Kitu Alikuwa Anaendesha Kijeshi Jeshi,tofauti Sana Na Magufuli
 
Lakini Kumbuka Iddi Amin Hakuwa Rais Kwa Kupigiwa Kura.Pili Alikuwa Ni Mwanajeshi Asiyekuwa Na Enough Education Kwahyo Kila Kitu Alikuwa Anaendesha Kijeshi Jeshi,tofauti Sana Na Magufuli

Kama Mkapa kwake ndo mfano wa marais..atafeli vibaya sana
ina maana hajawahi soma historia za kina Mandela
au Bill Clinton?

unaweza kuwa Rais mzuri bila kufokafoka na kutaka kuogopewa
 
Kuna kila dalili ya MAGUFULI kujiunga na UKAWA kabla ya oct 25.

Hahahahaha mkuu nakuamini sana wewe inaweza kuwa hivyo kama wewe ulivyovu gamba ukavaa gwanda na sasa mambo yako yamenyooka mkuu walete walete mkuu.

swissme
 
Kwa hapa taifa lilipo naamini kabisa tunahitaji uongozi wa type ya Mafufuli. Hakuna unafiki wala kuremba, ni kuambiana ukweli ikibidi hata mbele za watu. Tumezoea kubebana na kubembelezwa kupita kiasi. A dictator kinda president will do....!!

Hata huko majuu Trump anatema sio mchezo.
 
Naskia leo amemuamrisha RPC wa dodoma

Hivi mtu wa type hii hata asiyejua mipaka yake ana maana kweli?
Huyu jamaa bila kupepesa macho ni kuwa ana elements nyingi sana za Udikteta.

Sasa kazi kwao waTz kama watataka kuentertain kumwingiza mtu madarakani ambaye hajui uongozi wa seperation of power ya ile mihimili mitatu ya uongozi ya Executive, Judiciary na Parliament.

Ikitokea waTz wakabugi step na kumpa huyo jamaa kura ndipo watakaposhuhudia nchi yetu inaingia kwenye utawala wa kiimla.
 
Kama Mkapa kwake ndo mfano wa marais..atafeli vibaya sana
ina maana hajawahi soma historia za kina Mandela
au Bill Clinton?

unaweza kuwa Rais mzuri bila kufokafoka na kutaka kuogopewa

thats how they are tunataka mtu wetu mwenye sifa za kikwetu kwetu hatuhitaji rais wa kuigiza mwingine yupoje au alisema nin au alifanya nn
 
Huyu jamaa bila kupepesa macho ni kuwa ana elements nyingi sana za Udikteta.

Sasa kazi kwao waTz kama watataka kuentertain kumwingiza mtu madarakani ambaye hajui uongozi wa seperation of power ya ile mihimili mitatu ya uongozi ya Executive, Judiciary na Parliament.

Ikitokea waTz wakabugi step na kumpa huyo jamaa kura ndipo watakaposhuhudia nchi yetu inaingia kwenye utawala wa kiimla.

kumbukeni na nyie alivosema lowassa mwanza aliomtuma wenje,naye alikuwa dikteta au?
 
Kama Mkapa kwake ndo mfano wa marais..atafeli vibaya sana
ina maana hajawahi soma historia za kina Mandela
au Bill Clinton?

unaweza kuwa Rais mzuri bila kufokafoka na kutaka kuogopewa

Kila mtu ana style yake ya uongozi, sio lazima kwamba kwa vile Bill hakuwa mfokaji, basi Magufuli nae afuate principles zake. So long as ana qualify kuwa president, tunahitaji mtu wa hivyo kwa sasa.

Ujuwe nchi ipo ICU kwenye sekta nyingi, hasa kiutendaji. We need a no nonsense kinda president kunyoosha watu. Hata Rowlence(sijui nimepatia) wa Ghana aliwanyoosha watu wake kwa principles kama za magufuli.
 
utanyooka wewe na familia yako unayepigwa vibao home

Subiri sindano wewe.# ukiwa na baba soldier nawewe kuwa soldier. Hongera magufuli. Nyie wekeni ule feki. Lowasa hata kuhutubia anawaza kunya.
 
Attachments

  • 1443647827393.jpg
    1443647827393.jpg
    42.7 KB · Views: 96
  • 1443647846771.jpg
    1443647846771.jpg
    23.3 KB · Views: 90
mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa tiketi ya ccm ndugu john pombe magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la kongwa kwa tiketi ya ccm ndugu job ndugai, imethibitishwa.

Magufuli amemtuhumu job ndugai kwa kitendo chake cha kueleza hadharani kuwa anaiunga mkono kauli ya edward lowassa ya kuunda tume maalum kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji jimboni humo.

Magufuli amesema kuwa kitendo hicho kinaonyesha jinsi ambavyo job ndugai asivyo na imani naye kama mgombea wa urais kupitia chama chake na wala asisingizie migogoro.

Aidha habari za ndani zilizopatikana jimboni humo ni kuwa job ndugai alikuwa miongoni mwa wana ccm walio na imani kubwa na edward lowassa ingawa kwa sasa hajaeleza msimamo wake baada ya lowassa kuitosa ccm.
..................
Mimi nipo na timu ya watu wa ndani kabisa wa john magufuli mikoani.
acha uongo upo na watu wa ndani ipi?
 
Kuambiwa ukweli ndo udikiteta? tatizo wa tanzania tunapenda uongo uongo na usanii sanii. Achaa aambiwe ukweli atulie
 
Kwanini Utolee Mfano Iddi Amin Wa Miaka 90 Na Sio Mkapa Wa Juzi Juzi Hapa Na Tena Wa Nchini Kwetu Ambae Ni Design Ya Magufuli?

Iddi amini na lowasa ni tabia moja "watu wakali ", magufuli na mkapa ni "perfectionist". Ukibisha nenda kwa psychologist karibu nawewe atakusaidia.
 
Jaman msipost ujinga kuwahadaa watanzania imani yao ni kuwa watamchagua muadilifu hivyo kama unajua kuwa mgombea wako sio muadilifu ni vyema ukastuka na kuondoka huko uliko hapa kazi tu
 
Natamani Magufuli aapishwe ili nishuhudie mawaziri wakikataa kuteuliwa sababu ya kuogopa kuwajibishwa
 
Natamani Magufuli aapishwe ili nishuhudie mawaziri wakikataa kuteuliwa sababu ya kuogopa kuwajibishwa
under supervision ya lukuvi as prime minister au muhongo mbona nchi itanyoooka tu
 
Kila mtu ana style yake ya uongozi, sio lazima kwamba kwa vile Bill hakuwa mfokaji, basi Magufuli nae afuate principles zake. So long as ana qualify kuwa president, tunahitaji mtu wa hivyo kwa sasa.

Ujuwe nchi ipo ICU kwenye sekta nyingi, hasa kiutendaji. We need a no nonsense kinda president kunyoosha watu. Hata Rowlence(sijui nimepatia) wa Ghana aliwanyoosha watu wake kwa principles kama za magufuli.

Jerry Rawlings.
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM ndugu Job Ndugai, imethibitishwa.

Magufuli amemtuhumu Job Ndugai kwa kitendo chake cha kueleza hadharani kuwa anaiunga mkono kauli ya Edward Lowassa ya kuunda tume maalum kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji jimboni humo.

Magufuli amesema kuwa kitendo hicho kinaonyesha jinsi ambavyo Job Ndugai asivyo na imani naye kama mgombea wa urais kupitia chama chake na wala asisingizie migogoro.

Aidha habari za ndani zilizopatikana jimboni humo ni kuwa Job Ndugai alikuwa miongoni mwa wana CCM walio na imani kubwa na Edward Lowassa ingawa kwa sasa hajaeleza msimamo wake baada ya Lowassa kuitosa CCM.
..................
Mimi nipo na timu ya watu wa ndani kabisa wa John Magufuli mikoani.

Hata Lowasa akiwa waziri mkuu aliwahi kulaumu hadharani RAS wa Kigoma marehemu Martin Mgongolwa na kumsababishia matatizo makubwa ya kiutendaji mkoani kigoma.
 
Huyu jamaa bila kupepesa macho ni kuwa ana elements nyingi sana za Udikteta.

Sasa kazi kwao waTz kama watataka kuentertain kumwingiza mtu madarakani ambaye hajui uongozi wa seperation of power ya ile mihimili mitatu ya uongozi ya Executive, Judiciary na Parliament.

Ikitokea waTz wakabugi step na kumpa huyo jamaa kura ndipo watakaposhuhudia nchi yetu inaingia kwenye utawala wa kiimla.

afadhali utawala wa kiimla, anaweza kumwaga damu sana tu na visasi visivyo na maana
 
Back
Top Bottom