Elections 2015 Magufuli amshushia tuhuma Job Ndugai, amtahadharisha kuunga mkono kauli za Lowassa

​Kwani hata magufuli si ni team lowassa...tena muaminifu haswa!!!
 
Naskia leo amemuamrisha RPC wa dodoma

Hivi mtu wa type hii hata asiyejua mipaka yake ana maana kweli?

Hajui hata tofauti ya mgombea urais na Rais..
anaanza kutoa order kama keshakuwa Rais
na mtu yeyote anaetoa order jukwaani ujue huyo mtu ni bogus
sababu angemuuliza chemba mhusika pengine angepewa majibu na kujua tatizo lilipo

Eti anaagiza maji yaanze kutoka kabla hajaapishwa..sasa kama pesa za mradi
hazijafika halmashauri wafanyeje?
 

Yaani hivi unavyosema wewe ndo Waganda wengi walikuwa wanasema
mwanzoni Iddi Amin alipokuwa Rais.....i am sure unajua yalipoishia
 


Na yaliyomkuta Balali baada ya kuoverstay akajikuta kwenye himaya ya akili ndogo.

BTW, hata yeye hatapenda kufanya kazi na watu wenye uelewa kuliko yeye. He will not be comfortable. Angalia kufanya kampeni na Bulembo ni kwa sababu wana IQ sawa. Haya tumeona haya katika awamu inayoisha na nchi ilikotumbukizwa.

Ccm out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 



Mimi nimeshangaa hadi Kinana nae anamuona 'msaliti'
yaani kama ana ugonjwa wa 'kutomuamini mtu'
Iddi Amini alikuwa anaua watu kwa kuwahisi tu wanamsaliti

Sasa Kinana mtu ambae JK kambembeleza awe katibu CCM baada ya nafasi hiyo kuhitaji mtu
serious ....wengine kabla yake walipwaya..Kinana huyu ambae hata Mkapa alimbembeleza
awe campaign manager baada ya Sozigwa kuchemsha..leo Magufuli anajifanya hamuamini...ajabu kama ni kweli
 

Mkuu Umesahau Na Lowassa Kule Mwanza Alivomuagiza Wenje,usijaribu Kumkwepa Na Lowassa Pia
 
Yaani hivi unavyosema wewe ndo Waganda wengi walikuwa wanasema
mwanzoni Iddi Amin alipokuwa Rais.....i am sure unajua yalipoishia

Kwanini Utolee Mfano Iddi Amin Wa Miaka 90 Na Sio Mkapa Wa Juzi Juzi Hapa Na Tena Wa Nchini Kwetu Ambae Ni Design Ya Magufuli?
 
Lowasa ndo.raisi wetu mtarajiwa wengine wasindikizaji Ndugai ameshasoma alama za nyakati operesheni TOROKA UJE inazinduliwa rasmi kesho wale ambayo bado mnakaribishwa kwenye ukombozi.#UKAWA.
 
Ni kiongoz asiependa unafiki ukikosea hataki kukaa na kitu moyoni unachukua stahik yako maisha yanasonga na ndo imetoka hiyo hii imekaa poa
Alishawah kusema kuwa Maige alifanyiwa zengwe na Lembeli ili atoke kwenye uwaziri kwakua Lembeli alikuwa akiutamani uwaziri-Haya aliyaongea kwenye kampeni.....
 
Kwanini Utolee Mfano Iddi Amin Wa Miaka 90 Na Sio Mkapa Wa Juzi Juzi Hapa Na Tena Wa Nchini Kwetu Ambae Ni Design Ya Magufuli?

Iddi Amini ndio mfano mzuri wa kiongozi mpenda Masifa...
Magufuli hajawa Rais bado hatuwezi sema atafanana na Mkapa au Iddi Amini..
so mfano wa Iddi Amini ndo unafaa now ili ujumbe umfikie ajirekebishe
we fear the worst...na the worst ni 'Iddi Amin style'
 
Tingatinga la M@bua
 

Na vipi kuwanadi akina tibanjuka, chegge, ngelejea etc mbona hajawapa za uso??????

Hivi unadhani sisi hatuyaoni hayo, makufuli anahubiri ufisadi kweli toka moyoni??? Siamini
 
:doh: Humu ndani HUMUUUUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…