Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
Iddi Amini ndio mfano mzuri wa kiongozi mpenda Masifa...
Magufuli hajawa Rais bado hatuwezi sema atafanana na Mkapa au Iddi Amini..
so mfano wa Iddi Amini ndo unafaa now ili ujumbe umfikie ajirekebishe
we fear the worst...na the worst ni 'Iddi Amin style'
Lakini Kumbuka Iddi Amin Hakuwa Rais Kwa Kupigiwa Kura.Pili Alikuwa Ni Mwanajeshi Asiyekuwa Na Enough Education Kwahyo Kila Kitu Alikuwa Anaendesha Kijeshi Jeshi,tofauti Sana Na Magufuli
Kuna kila dalili ya MAGUFULI kujiunga na UKAWA kabla ya oct 25.
Huyu jamaa bila kupepesa macho ni kuwa ana elements nyingi sana za Udikteta.Naskia leo amemuamrisha RPC wa dodoma
Hivi mtu wa type hii hata asiyejua mipaka yake ana maana kweli?
Kama Mkapa kwake ndo mfano wa marais..atafeli vibaya sana
ina maana hajawahi soma historia za kina Mandela
au Bill Clinton?
unaweza kuwa Rais mzuri bila kufokafoka na kutaka kuogopewa
Huyu jamaa bila kupepesa macho ni kuwa ana elements nyingi sana za Udikteta.
Sasa kazi kwao waTz kama watataka kuentertain kumwingiza mtu madarakani ambaye hajui uongozi wa seperation of power ya ile mihimili mitatu ya uongozi ya Executive, Judiciary na Parliament.
Ikitokea waTz wakabugi step na kumpa huyo jamaa kura ndipo watakaposhuhudia nchi yetu inaingia kwenye utawala wa kiimla.
Kama Mkapa kwake ndo mfano wa marais..atafeli vibaya sana
ina maana hajawahi soma historia za kina Mandela
au Bill Clinton?
unaweza kuwa Rais mzuri bila kufokafoka na kutaka kuogopewa
utanyooka wewe na familia yako unayepigwa vibao home
mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa tiketi ya ccm ndugu john pombe magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la kongwa kwa tiketi ya ccm ndugu job ndugai, imethibitishwa.
Magufuli amemtuhumu job ndugai kwa kitendo chake cha kueleza hadharani kuwa anaiunga mkono kauli ya edward lowassa ya kuunda tume maalum kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji jimboni humo.
Magufuli amesema kuwa kitendo hicho kinaonyesha jinsi ambavyo job ndugai asivyo na imani naye kama mgombea wa urais kupitia chama chake na wala asisingizie migogoro.
Aidha habari za ndani zilizopatikana jimboni humo ni kuwa job ndugai alikuwa miongoni mwa wana ccm walio na imani kubwa na edward lowassa ingawa kwa sasa hajaeleza msimamo wake baada ya lowassa kuitosa ccm.
..................
Mimi nipo na timu ya watu wa ndani kabisa wa john magufuli mikoani.
Kwanini Utolee Mfano Iddi Amin Wa Miaka 90 Na Sio Mkapa Wa Juzi Juzi Hapa Na Tena Wa Nchini Kwetu Ambae Ni Design Ya Magufuli?
under supervision ya lukuvi as prime minister au muhongo mbona nchi itanyoooka tuNatamani Magufuli aapishwe ili nishuhudie mawaziri wakikataa kuteuliwa sababu ya kuogopa kuwajibishwa
Kila mtu ana style yake ya uongozi, sio lazima kwamba kwa vile Bill hakuwa mfokaji, basi Magufuli nae afuate principles zake. So long as ana qualify kuwa president, tunahitaji mtu wa hivyo kwa sasa.
Ujuwe nchi ipo ICU kwenye sekta nyingi, hasa kiutendaji. We need a no nonsense kinda president kunyoosha watu. Hata Rowlence(sijui nimepatia) wa Ghana aliwanyoosha watu wake kwa principles kama za magufuli.
Mm kuna taarifa nimeipata magufuli huenda akaja rasmi ukawa baada ya wiki moja.na alimuomba lowasa amuache kwenye wizara ya ujenzi
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli leo ameshusha lundo la tuhuma kwa naibu spika wa bunge na mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM ndugu Job Ndugai, imethibitishwa.
Magufuli amemtuhumu Job Ndugai kwa kitendo chake cha kueleza hadharani kuwa anaiunga mkono kauli ya Edward Lowassa ya kuunda tume maalum kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji jimboni humo.
Magufuli amesema kuwa kitendo hicho kinaonyesha jinsi ambavyo Job Ndugai asivyo na imani naye kama mgombea wa urais kupitia chama chake na wala asisingizie migogoro.
Aidha habari za ndani zilizopatikana jimboni humo ni kuwa Job Ndugai alikuwa miongoni mwa wana CCM walio na imani kubwa na Edward Lowassa ingawa kwa sasa hajaeleza msimamo wake baada ya Lowassa kuitosa CCM.
..................
Mimi nipo na timu ya watu wa ndani kabisa wa John Magufuli mikoani.
Huyu jamaa bila kupepesa macho ni kuwa ana elements nyingi sana za Udikteta.
Sasa kazi kwao waTz kama watataka kuentertain kumwingiza mtu madarakani ambaye hajui uongozi wa seperation of power ya ile mihimili mitatu ya uongozi ya Executive, Judiciary na Parliament.
Ikitokea waTz wakabugi step na kumpa huyo jamaa kura ndipo watakaposhuhudia nchi yetu inaingia kwenye utawala wa kiimla.