TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
Magufuli alimpa nafasi mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Chalinze ndugu Ridhiwani ataje matatizo sugu Chalinze yatakayokuwa vipaumbele jimbo la Chalinze. Hapo Ridhiwani akataja "maji". Kwa dharau magufuli akamwambia ina maana wewe ulikuwa una uwezo wa kukaa na baba meza moja, mnakaa wote sebuleni unashindwa kumweleza tatizo hili naye akakusaidia?