Magufuli amuumbua Ridhiwani Kikwete Chalinze leo

Magufuli ni pasua kichwa…ndio maana hata wenzao CCM hawamwelewi elewi..wengine wanadhani kwa jinsi anavyoikosoa CCM ni kama yuko UKAWA…
Nakubaliana na waliopita kuwa Magufuli hakuandaliwa kabisa kuwa raisi ya awamu ya 5…hapa ni sawa kama ameokota embe kwenye muarobaini…yaani haiwezekani ukaiumbua serikali yako uliyoiyumikia kwa kipindi cha miaka 20,,,hajui anawapa upinzani silaha hapo za kuishambulia CCM?

CCM inategemea kuiba kura hivyo mambo ya kuogopa sijui kukosolewa hayapo. Tatizo kubwa la serikali inayoingia madarakani kwa njia hii ni kwamba viongozi wake wote hawawajibiki kwa wananchi kwani hawana hofu ya kuondolewa kwa kura. Hata hizi kampeni wanafanya ili kuuonyesha ulimwengu tu lakini wao wanasubira tu siku ile ya kura waibe.
 
Nikidanganya nitapata faida gani?

Riz1 akili imeganda kweli hajui hata wajibu mbunge ninini yeye anajua tu kuwapa wanaomlamba miguu kama makonda ukuu wa Wilaya swala la maendeleo kwake zero.
 
Hapa kazi tu" kasha anza kuwashugulikia sasa rizone chunga sana hili jembe jingne sio lile la home!!!
 
Mheshimiwa magufuli alimpa nafasi mgombea ubunge kupitia ccm jimbo la chalinze ndugu rizi ataje matatizo sugu chalinze yatakayokuwa vipaumbele jimbo la chalinze. Hapo mh. Riziwani akataja "maji". Kwa dharau magufuli akamwambia ina maana wewe ulikuwa una uwezo wa kukaa na baba meza moja, mnakaa wote sebureni unashindwa kumweleza tatizo hili naye akakusaidia!?
Shame ccm.

Miaka yooote Baba Rizi amekuwa mbunge wa eneo hilo, alikuwa waziri, bado mtoto Rizi amekuja kuwa mbunge bado unasema maji tatizo! kweli kizazi cha wasanii
 
Mheshimiwa magufuli alimpa nafasi mgombea ubunge kupitia ccm jimbo la chalinze ndugu rizi ataje matatizo sugu chalinze yatakayokuwa vipaumbele jimbo la chalinze. Hapo mh. Riziwani akataja "maji". Kwa dharau magufuli akamwambia ina maana wewe ulikuwa una uwezo wa kukaa na baba meza moja, mnakaa wote sebureni unashindwa kumweleza tatizo hili naye akakusaidia!?
Shame ccm.
Mbona chato mita 100 hamna maji
 
Attachments

  • 1445533562419.jpg
    1445533562419.jpg
    27.1 KB · Views: 1,161
Huu ni unafiki namba moja.Eti mtu anashangazwa na maneno haya lakini anashangilia na kurukaruka akisikia mtu aliyelawiti watoto wadogo watatolewa jela!@HAWA NI WATU KWELI.NI Mtanzania KWELI ANAENDESHA HIZI AGENDA AU NI KUTOKA WAPI
Hii ni hatari
Mheshimiwa magufuli alimpa nafasi mgombea ubunge kupitia ccm jimbo la chalinze ndugu rizi ataje matatizo sugu chalinze yatakayokuwa vipaumbele jimbo la chalinze. Hapo mh. Riziwani akataja "maji". Kwa dharau magufuli akamwambia ina maana wewe ulikuwa una uwezo wa kukaa na baba meza moja, mnakaa wote sebureni unashindwa kumweleza tatizo hili naye akakusaidia!?
Shame ccm.
 
Mheshimiwa magufuli alimpa nafasi mgombea ubunge kupitia ccm jimbo la chalinze ndugu rizi ataje matatizo sugu chalinze yatakayokuwa vipaumbele jimbo la chalinze. Hapo mh. Riziwani akataja "maji". Kwa dharau magufuli akamwambia ina maana wewe ulikuwa una uwezo wa kukaa na baba meza moja, mnakaa wote sebureni unashindwa kumweleza tatizo hili naye akakusaidia!?
Shame ccm.

Hawa hawatamalizana vizuri... kuna mmoja atatolewa damu tu
 
Huo ndio ukweli.Shame on CCM.
CCM inategemea kuiba kura hivyo mambo ya kuogopa sijui kukosolewa hayapo. Tatizo kubwa la serikali inayoingia madarakani kwa njia hii ni kwamba viongozi wake wote hawawajibiki kwa wananchi kwani hawana hofu ya kuondolewa kwa kura. Hata hizi kampeni wanafanya ili kuuonyesha ulimwengu tu lakini wao wanasubira tu siku ile ya kura waibe.
 
Magufuli ni ( ADHD ) Attention deficit hyperactivity disorder case. Ina hitaji kazi ya ziada kumuelewa.
 
Watu wasubiri Pombe aanze kazi yake ya urais ndio watafahamu Pombe ni nani hivi watu wanajikaushakausha tu.
 
Ndo maajabu ya fisiem baba raisi ...mtoto mbunge lakini wananchi wanateseke na maji.??...na baba rizi kakulia hapohapo chalize ndo waliomlea lakini leo kwishneyy hawakumbukiiii

Monduli vp hili tatizo halipo?, Butiama vp, masasi vp, Mkuranga vp? Jk ndio mjanja zaid kwny uchaguz huu
 
Back
Top Bottom