Magufuli amuumbua Ridhiwani Kikwete Chalinze leo

Magufuli amuumbua Ridhiwani Kikwete Chalinze leo

Msidanganyike na propaganda ya magufuli ya ku seek attention. Ccm hiyo chalinze si ni jimbo lao miaka yote. Tupa kulee danganya toto. Raisi ni lowassa
 
Magufuli ni pasua kichwa…ndio maana hata wenzao CCM hawamwelewi elewi..wengine wanadhani kwa jinsi anavyoikosoa CCM ni kama yuko UKAWA…
Nakubaliana na waliopita kuwa Magufuli hakuandaliwa kabisa kuwa raisi ya awamu ya 5…hapa ni sawa kama ameokota embe kwenye muarobaini…yaani haiwezekani ukaiumbua serikali yako uliyoiyumikia kwa kipindi cha miaka 20,,,hajui anawapa upinzani silaha hapo za kuishambulia CCM?
anabahati kuwa kwenye nchi ya wadanganyika vinginevyo asingepata kura
 
Magufuli ni pasua kichwa…ndio maana hata wenzao CCM hawamwelewi elewi..wengine wanadhani kwa jinsi anavyoikosoa CCM ni kama yuko UKAWA…
Nakubaliana na waliopita kuwa Magufuli hakuandaliwa kabisa kuwa raisi ya awamu ya 5…hapa ni sawa kama ameokota embe kwenye muarobaini…yaani haiwezekani ukaiumbua serikali yako uliyoiyumikia kwa kipindi cha miaka 20,,,hajui anawapa upinzani silaha hapo za kuishambulia CCM?

mbona sumaye anaiponda serikal yake aliyokuwa wazir mkuu kwa miaka 10, anasema ccm haijafanya chochote kwa zaid ya 50yrs. tuwe wakwel tuache ushabik.
 
Huu ni unafiki namba moja.Eti mtu anashangazwa na maneno haya lakini anashangilia na kurukaruka akisikia mtu aliyelawiti watoto wadogo watatolewa jela!@HAWA NI WATU KWELI.NI Mtanzania KWELI ANAENDESHA HIZI AGENDA AU NI KUTOKA WAPI
Hii ni hatari

Nani kakulawiti jamaa?
 
Kwa Magufuli anavyomuabudu JK, Nina hofu na usahihi ya taarifa ya mletamada!
Anajua urais wa babaake na huyo jamaa umebaki siku mbili tuu, hivyo kule kujikomba komba ndio basi tena. Ogopa sana mtu anayejinyenyekeza kwa sababu za cheo chako siku akijua cheo hicho huna tena! Anaweza kukuonyesha dharau hapohapo maana hakuhitaji tena.
 
.....ilipasa aepuke kuonana nae kabisa kama alivyowafanyia akina chenge.....
 
Ndo maajabu ya fisiem baba raisi ...mtoto mbunge lakini wananchi wanateseke na maji.??...na baba rizi kakulia hapohapo chalize ndo waliomlea lakini leo kwishneyy hawakumbukiiii

Na mara kwa mara anakwenda,na chanzo cha maji kipo wilaya hiyohiyo
 
Back
Top Bottom