Magufuli amuumbua Ridhiwani Kikwete Chalinze leo

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Magufuli alimpa nafasi mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Chalinze ndugu Ridhiwani ataje matatizo sugu Chalinze yatakayokuwa vipaumbele jimbo la Chalinze. Hapo Ridhiwani akataja "maji". Kwa dharau magufuli akamwambia ina maana wewe ulikuwa una uwezo wa kukaa na baba meza moja, mnakaa wote sebuleni unashindwa kumweleza tatizo hili naye akakusaidia?
 
Nepotism?
 
Hatakama mimi siwapendi CCM, ila mfano wa kuigwa upo kwa D. Filikunjombe alifanya kazi kubwa kwenye jimboni lake. R.I.P Deo

We nawe! Hapa mada ni magufuli kumuumbua riz sasa marehemu kajaje humu?
 
Magufuli ni pasua kichwa…ndio maana hata wenzao CCM hawamwelewi elewi..wengine wanadhani kwa jinsi anavyoikosoa CCM ni kama yuko UKAWA…
Nakubaliana na waliopita kuwa Magufuli hakuandaliwa kabisa kuwa raisi ya awamu ya 5…hapa ni sawa kama ameokota embe kwenye muarobaini…yaani haiwezekani ukaiumbua serikali yako uliyoiyumikia kwa kipindi cha miaka 20,,,hajui anawapa upinzani silaha hapo za kuishambulia CCM?
 

Jembe, hamna kupepesa macho!
 

Huyu jamaa akiendelea hivi atakuwa bora sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…