Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi ilibadilika kutoka nchi ya kilimo na kuwa Industrialise country within 20 years.
Ukitaka kuwasikiliza wenye njaa maendeleo yatakuja baada ya sisi kufa.
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza mambo ya leo, kesho itajulikana ikifika.
Shida kwa watu wengi, bado huduma muhimu ( chakula, malazi na mavazi) ni shida njaa ni kubwa.
Cha kujiuliza ni,tufanye maendeleo atakayefika miaka hyo ale bata au tule leo wa miaka hiyo watajijua?
Maoni yangu ni kwamba Ndg Lisu aendelee kutupambania kama mwanaharakati, ili kumsutua Magufuri atoe vitu kama ajira ili hela irudi mtaani, na Dr. Magufuri aendelee na maono yake ya kujenga Tanzania ya miaka 30 ijayo.
Maoni yako ni yapi? Kumbuka maendeleo hayana chama.
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.Kukusaidia kueleza ulichosema kwa maneno rahisi ya wenzetu ni kuwa Magufuli ni mgombea Visionary wakati Lissu ni mgombea Myopic. Sasa ni swala la kuchagua kama unataka visionary leader au myopic leader
😂😂😂😂😂😂View attachment 1589559
Haya ndio maono ya chama cha Mbowe. October 28,tunajambo letu.
Such a point watanzania wachache wanawaza kama wewe. 60% of country's GDP ni kilimo lakini wamekipotezea utafikiri hakuna kitu, main reason?? Kazi sana kuwa control watu wako economically independent!! Umaskini wa watanzania ni mtaji wa wanasiasa.Mfano pesa zilizowekezwa kwwenye hii miradi yote zingewekezwa kwenye kilimo ndani ya miaka 3 tu zingezaa mara tatu huku zikichochea ajira, pesa za kigeni, kuliko kutumia zaidi ya tilioni moja kununua ndege zinazoajiri watu 404 huku wanaomudu kupanda ndege awafiki hata milioni 1 nchi nzima.
Kwa mchumi hii miradi yote ilitakiwa ifanyike kwenye stage ya tatu ya ukuzaji uchumi.
Kiongozi mzuri utokana na fani ya sheria,diplomasia,uchumi au biashara, sayansi ya Jamii hizi fani zingine ni chenga tu maana zinahitaji claiming capacity na sio reasoning capacity, uongozi ni reasoning na sio claiming. Kuhesabu kilometers za barabara kumetuingiza chaka
Nadhani hujanielewa. Wapi nimesema kwamba Park au Japan hawakujenga miundombinu au hakukusanya kodi? Nimekwambia hakufanya crackdown na counterproductive policies ambazo zinaua private sector. Of course Korea na Japan wote walikuwa na plan za kuongeza ajira, mikopo nafuu nk, ww umeziona wapi plan hizo kwetu? Ajira ngapi zimeongezeka kwa miaka mitano ijayo?Basi huijui historia ya uchumi wa Korea jinsi serikali ilivyowekeza kwenye miundombinu na viwanda; vile vile huenda pia hujui jinsi uchumi wa Japan ulivyokua kwa serikali kuwekeza kwenye miundombinu na viwanda.
Uchumi unakua kwa kuwa na infrastructure nzuri, jambo ambalo linafanywa na serikali pekee. Serikali yoyote duniani hujiendesha kwa kukusanya kodi. Unapochukia serikali kwa kukusanya kodi na kujenga miundo mbinu basi sijui wewe unataka serikali ya namna gani. Hii mediocrity ya kupenda kula bata bila kulipa kodi na kuendelea kuwa na miundo mbinu hovyohovyo isiyopotika wakati wa masika inabidi uindoe kichwani mwako. Shughuli za kiuchumi zinatakiwa ziwe zinafanyika all year round, siyo eti wakati wa masika watu wanajifungia ndani tu kwa sababu barabara hazipitiki. Kuna kauli za magufuli sikubaliani nazo, ila nakubaliana kabisa na jinsi anavyoendesha serikali kutekeleza wajibu wake. Normally serikali yoyote hufanya kazi kwa nguvu, siyo kwa kubembelezanana, ndiyo maana kuna sheria, anbazo ni instruments za matumizi ya nguvu.