Uchaguzi 2020 Magufuli anaiona Tanzania nzuri miaka 30 ijayo, shida wengi tuna njaa

Jiwe ni sawa na mzazi anaewanunulia wanawe sabuufa, tv ya milioni 6,suti za bei kubwa wanawe walio na utapiamlo, wamefukuzwa shule kwa kukosa ada, wanashinda njaa, hawana ajira,
 
Kwass shida ni Elimu imetujenga ili tuajiliwe co tujiajiri. Bado tuna safari ndefu.
Urusi ilibadilika kutoka nchi ya kilimo na kuwa Industrialise country within 20 years.
Ukitaka kuwasikiliza wenye njaa maendeleo yatakuja baada ya sisi kufa.
 
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.
 
Kukusaidia kueleza ulichosema kwa maneno rahisi ya wenzetu ni kuwa Magufuli ni mgombea Visionary wakati Lissu ni mgombea Myopic. Sasa ni swala la kuchagua kama unataka visionary leader au myopic leader
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.
 
Such a point watanzania wachache wanawaza kama wewe. 60% of country's GDP ni kilimo lakini wamekipotezea utafikiri hakuna kitu, main reason?? Kazi sana kuwa control watu wako economically independent!! Umaskini wa watanzania ni mtaji wa wanasiasa.
 
Nadhani hujanielewa. Wapi nimesema kwamba Park au Japan hawakujenga miundombinu au hakukusanya kodi? Nimekwambia hakufanya crackdown na counterproductive policies ambazo zinaua private sector. Of course Korea na Japan wote walikuwa na plan za kuongeza ajira, mikopo nafuu nk, ww umeziona wapi plan hizo kwetu? Ajira ngapi zimeongezeka kwa miaka mitano ijayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…