Magufuli analichukuliaje hili? Je ana la kujifunza?

Halafu Mwanaume yupi kati ya Uhuru Kenya na Magufuli atakuchukuwa? Kwa maana naona unalinganisha na kuchonganisha Wanaume, mambo ya Kike hayo!
Sasa wewe si ndio mwanamke Malaya chagua mmoja
 
Mwenzake huku anapambana usiku kucha kuua upinzani....

Hakika tulikosea kumkabidhi nchi huyu jamaa....
 
Rais wa kenya anajielewa. Wa bongo kazi kutetea, mara tuna hela, mara tuna vijana smart, mara tuna viwanda, kila kitu kwake anaona tunacho. Muulize viko wapi sasa, badala ya kuonyeshwa unapelekwa kulala rumande kwa uchochezi. Chupi kabisa.
USISAHAU NA SIFA ZA KUVUTA BAngi ili
 
Mmeshikwa pabaya ropoka yote uwezavyo hii ndo nchi ya Ndugu John Pombe Magufuli hamtubabaishi kaeni na bwana zenu hukohuko msituletee kelele zenu
 
umesema kweli maisha ya nje ya Tz ni matam sana sio bonge hata tram hakuna poor infrastructure
 

Mshikaji amejipanga ili yeye au washikaji kutawala hio nch ikwa miaka 50 ijayo.

Anajua akiomba msamaha Waafrika kwa akili zetu, tunaamini na kusahau mamia walikufa,lakini tayari watu wamesahau lengo ni kukaa madarakani au kuwa na control fulani.
 
Former President of Tanzania Ali Hassan Mwinyi advice to all sitting presidents in Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…