omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Sasa wewe si ndio mwanamke Malaya chagua mmojaHalafu Mwanaume yupi kati ya Uhuru Kenya na Magufuli atakuchukuwa? Kwa maana naona unalinganisha na kuchonganisha Wanaume, mambo ya Kike hayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe si ndio mwanamke Malaya chagua mmojaHalafu Mwanaume yupi kati ya Uhuru Kenya na Magufuli atakuchukuwa? Kwa maana naona unalinganisha na kuchonganisha Wanaume, mambo ya Kike hayo!
Kwa manufaa ya umma sawa!Huwa mijeledi inageukaga unaemchapa sasa kuna siku nae atakuchapa uwe tayari kuaanda vema tako lako vema
USISAHAU NA SIFA ZA KUVUTA BAngi iliRais wa kenya anajielewa. Wa bongo kazi kutetea, mara tuna hela, mara tuna vijana smart, mara tuna viwanda, kila kitu kwake anaona tunacho. Muulize viko wapi sasa, badala ya kuonyeshwa unapelekwa kulala rumande kwa uchochezi. Chupi kabisa.
Tumeitoa mbali JF ...........!!Karibu sana mzee. Naona ulijoin jamii forum 2007
Ngoja 'wenzako' waje. Itakuwa ni full mitusi.Mwenzake huku anapambana usiku kucha kuua upinzani....
Hakika tulikosea kumkabidhi nchi huyu jamaa....
Mmeshikwa pabaya ropoka yote uwezavyo hii ndo nchi ya Ndugu John Pombe Magufuli hamtubabaishi kaeni na bwana zenu hukohuko msituletee kelele zenuMi si maskini kijana, umaskini niliuacha miaka zaidi ya 10 iliyopita sijaugusa tena.
Na sipo bongo, nawalalamikia watanzania kama wewe ambao mmekaa mnapigwa jua. Nje kuna raha sana tu, mara ya mwisho kuona umeme umekatika ni wakati nilikuja kuvisit bongo wiki iliyopita. We endelea kukabwa sasa na huyo dikteta uchwara wako na bashite. Utanyooka tu mbwiga.
umesema kweli maisha ya nje ya Tz ni matam sana sio bonge hata tram hakuna poor infrastructureMi si maskini kijana, umaskini niliuacha miaka zaidi ya 10 iliyopita sijaugusa tena.
Na sipo bongo, nawalalamikia watanzania kama wewe ambao mmekaa mnapigwa jua. Nje kuna raha sana tu, mara ya mwisho kuona umeme umekatika ni wakati nilikuja kuvisit bongo wiki iliyopita. We endelea kukabwa sasa na huyo dikteta uchwara wako na bashite. Utanyooka tu mbwiga.
HeeeWatanzania na waKenya tuko tofauti sana sisi ukiwa mpole mpole kama Jakaya watu watakutukana sana sisi ni mijeledi tu!
Nimehama CCM nongwa iko wapi hata kama huko nyuma ningesema wanaomchukia Raisi JOHN POMBE MAGUFULI wametatuliwa marida kwangu ni sawa.Heee
Huyo ni political strategy ambayo wengi hawatawaelewa. Inaweza kutoa auheni kidogo lakini the damage was done and is too big to repair it.
Kama yuko serious ataepa Wakenya free and fair election 2022. This thing keeps on repeating. People are getting tired. It should come to the end ... It should end!!