Magufuli analichukuliaje hili? Je ana la kujifunza?

Magufuli analichukuliaje hili? Je ana la kujifunza?

Halafu Mwanaume yupi kati ya Uhuru Kenya na Magufuli atakuchukuwa? Kwa maana naona unalinganisha na kuchonganisha Wanaume, mambo ya Kike hayo!
Sasa wewe si ndio mwanamke Malaya chagua mmoja
 
Mwenzake huku anapambana usiku kucha kuua upinzani....

Hakika tulikosea kumkabidhi nchi huyu jamaa....
 
Rais wa kenya anajielewa. Wa bongo kazi kutetea, mara tuna hela, mara tuna vijana smart, mara tuna viwanda, kila kitu kwake anaona tunacho. Muulize viko wapi sasa, badala ya kuonyeshwa unapelekwa kulala rumande kwa uchochezi. Chupi kabisa.
USISAHAU NA SIFA ZA KUVUTA BAngi ili
 
Mi si maskini kijana, umaskini niliuacha miaka zaidi ya 10 iliyopita sijaugusa tena.
Na sipo bongo, nawalalamikia watanzania kama wewe ambao mmekaa mnapigwa jua. Nje kuna raha sana tu, mara ya mwisho kuona umeme umekatika ni wakati nilikuja kuvisit bongo wiki iliyopita. We endelea kukabwa sasa na huyo dikteta uchwara wako na bashite. Utanyooka tu mbwiga.
Mmeshikwa pabaya ropoka yote uwezavyo hii ndo nchi ya Ndugu John Pombe Magufuli hamtubabaishi kaeni na bwana zenu hukohuko msituletee kelele zenu
 
Mi si maskini kijana, umaskini niliuacha miaka zaidi ya 10 iliyopita sijaugusa tena.
Na sipo bongo, nawalalamikia watanzania kama wewe ambao mmekaa mnapigwa jua. Nje kuna raha sana tu, mara ya mwisho kuona umeme umekatika ni wakati nilikuja kuvisit bongo wiki iliyopita. We endelea kukabwa sasa na huyo dikteta uchwara wako na bashite. Utanyooka tu mbwiga.
umesema kweli maisha ya nje ya Tz ni matam sana sio bonge hata tram hakuna poor infrastructure
 
Huyo ni political strategy ambayo wengi hawatawaelewa. Inaweza kutoa auheni kidogo lakini the damage was done and is too big to repair it.

Kama yuko serious ataepa Wakenya free and fair election 2022. This thing keeps on repeating. People are getting tired. It should come to the end ... It should end!!

Mshikaji amejipanga ili yeye au washikaji kutawala hio nch ikwa miaka 50 ijayo.

Anajua akiomba msamaha Waafrika kwa akili zetu, tunaamini na kusahau mamia walikufa,lakini tayari watu wamesahau lengo ni kukaa madarakani au kuwa na control fulani.
 
Former President of Tanzania Ali Hassan Mwinyi advice to all sitting presidents in Africa
 
Back
Top Bottom