Magufuli anapomuenzi Nyerere kwa vitendo

Magufuli anapomuenzi Nyerere kwa vitendo

Huo umeme wa REA ni msaada kama Kuna Raisi ataacha kuendeleza kuweka vijijini na msaada unakata na ndo maana wanaweka Polepole ili pesa ziendelee kuja kutoka kwa mabeberu.
 
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
IMG-20201014-WA0022.jpg


Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
"Nileteeni Gwajima!×3 kisha akaenda kwenye Panic mode" ndio unamfananisha na Baba wa Taifa hili
 
Na kwavile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Ningeshawishika kuwa Magufuli anafanana na Nyerere kama angetueleza sababu za kufa kwa miradi ya umma kama viwanda, mashamba na makampuni ya usafiri na yeye atafanya nini tofauti kuhakikisha hayata pata changamoto hizo kabla ya kuyaanzisha.

Nyerere alikubali kuwa kuna makosa aliyafanya na aliamua kung’atuka akapisha wengine waendelee kuongoza. Je Magufuli anaweza kufanya hivyo?
 
Ukweli ni kuwa huyu ni MZALENDO tuliyenaye katika karne hii ya 21.

Tanzania itamkumbuka sana shujaa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tafadhali mwandishi tuombe radhi Watanzania kwa kumfananisha Nyerere na huyu. Ni matusi makubwa sana yasiyo mithilika kwa Nyerere. Kimsingi humjui J K Nyerere.

Nyerere analinganiahwa na watu kama Mahatma Gandhi, JF Kennedy au Nelson Mandela.

Huyu wa kwako hata kumlinganisha na Benjamin Mkapa bado ni kama kulinganisha mbaazi kwa maini. Wacheni utani!!
 
Mwanaume mzalendo kipenzi cha watu Leo kapanda mtumbwi na kwenda kuhutubia raia hizi takataka zingine tutamalizana nazo tarehe 28/10/2020 saa nne Asubuhi.
Tundu Lissu atosha.
Hakuna Mwanamke anayeacha kumsifia Mwanaume aliyemuoa kwani ndie anayempa mkate wa kila siku
 
Hawa wote kwa makundi yao lazima wamkwamishe Magufuli tarehe 28.10.2020
1.Watumishi wa umma
2.Wafanyabishara
3. Wakulima wa korosho,pamba na kahawa
4.Wahanga wa tetemeko la Kagera
5.Waliomaliza vyuo hawajaajiriwa
6.Wavuvi mliowachomewa nyavu moto
7.Wachimbaji wadogo aliowafukuza Mererani
8.Waliofukuzwa UDOM 2016
9.Waliovunjiwa nyumba KIMARA
10.Wafanyabiashara wa Bureau de change
11.Wanafunzi wa elimu ya juu
12.Makandarasi ambao kazi zao amepeleka SUMA JKT na MAYANGA
13.Watumishi wa TRA na TPA aliopora pesa kwenye akaunti zao
14.Clearing and forwarding aliowapora kazi na kupeleka TASAC

15. Na wasilamu na mashehe wao 170 waliokizuizini miaka zaidi ya sita sasa.
16. Wastaafu wanaodai fao la kujitoa
17. Ndugu wa wahanga waliotekwa , kuuliwa na kupotezwa.
18. Wanyaturu na mtoto wao Tundu Lissu
19. Watengereko na watu wao waliouliwa Kibiti
20. Wenye CCM yao sampuli ya Yusuf Makamba, Kinana, Kikwette nk
 
Na kwavile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni misukule tu katika jimbo la Kawe ndiyo wanaweza kumchagua Gwajima
 
Back
Top Bottom