BAK , achana na hizo taka taka.
Jino la pembe si dawa ya pengo...mchama ago hanyeli, huenda akauya papo.
Siku zote kupanda mchongoma, kushuka ndio ngoma.
View attachment 1600472 Maisha ni safari ndefu: 2015 - 2020! View attachment 1600473
Jamani tupunguzeni mahaba...hakuna namna Magufuli anaweza akafananishwa na Baba wa Taifa, huu ni utani usiokuwa na ladha hata kidogo.Ningeshawishika kuwa Magufuli anafanana na Nyerere kama...
Nyerere kaandika vitabu vya falsafa zake.
Magufuli sina hakika kwamba hata kusoma kwa ufahamu anaju
Hakuna Mwanamke anayeacha kumsifia Mwanaume aliyemuoa kwani ndie anayempa mkate wa kila sikuMwanaume mzalendo kipenzi cha watu Leo kapanda mtumbwi na kwenda kuhutubia raia hizi takataka zingine tutamalizana nazo tarehe 28/10/2020 saa nne Asubuhi.
Tundu Lissu atosha.
Nileteeeni GwajimaaaaaaNa kwavile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
Ni misukule tu katika jimbo la Kawe ndiyo wanaweza kumchagua GwajimaNileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere wrote and spoke with scholarly erudition.Haka kasehemu nimekapenda sana jiwe hajui hata kisoma.