Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha ajabu, jamaa akasepa dakika za mwisho.
Kwa maswali yale aliyopigwa Lowassa, no wonder Magufuli anakimbia. Huu ni udhaifu pia.
Huwa najiuliza aliipataje jiyo PhD yake? Aliiteteaje? Na kwa lugha gani?
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...
Tujiandae Kwa aibu akishinda, mikutano ya kimataifa itakuwa shida
Kuhutubia UN inaweza isiwe ishu. Si atakuwa anasoma tu kwenye karatasi. Halafu na alivyo hodari wa kukariri anaweza akaikariri hata robo tatu nzima ya hotuba.
Kasheshe akiwa sehemu kama Davos kwenye yale ma panel discussions ambapo mtu anakuwa hasomi hotuba.
Je, ataongea Kiswahili na kutumia mkalimani au ataongea Kiingereza?
Mimi natabari atachomoa kabisa kwenda huko Davos.
Billionaire Boys Club!Kwanza mwambie ataje kirefu cha BBC.
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...
Kama akishinda urais itabidi aende British Council akanoe yai.Teh teh teh.....
Labda anaogopa watamchenjia katikati ya mahojiano na kuchomekea Kizungu:wink:.
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...