Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Zaidi ya Barabara hakuna kingine anachojua.
Huko BBC ataleta aibu tupu, bora asiende.

Barabara kama hizi?
Barabara au Reli.jpg
 
Anaogopa nini. Tutakupaje kazi bila kukuhoji km unayosema kweli unamaanisha na hujakariri tu_? Km hatokei kwenye interview basi kazi hapewi!
 
Uwezo wa Magufuli ni mdogo mno. Ni mtu wa kukariri tu. Hafai kuwa Rais.
 
Aisee kuna watu huwa nawaambia kila siku kwamba kama tunatarajia kuwa na rais kama Magufuli tutapata shida sana jamaa hajisomi tutajutia miaka mitano yote na 2020 atakuwa ameshatukinai
 
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...


hahaaaa BBC waongo watamdanganya kuwa watamhoji kwa kiswahili akifika wanaanza kutiririka kizungu mwanzo kati mwisho...hatareeee
 
Teh teh teh.....

Labda anaogopa watamchenjia katikati ya mahojiano na kuchomekea Kizungu:wink:.

mkuu umenichekesha hapo pa kumchenjia, na alivo mshamba ataanza kuongea lugha za makabira ya tanzania yote eti ndo sera!!
 
Zaidi ya Barabara hakuna kingine anachojua.



Huko BBC ataleta aibu tupu, bora asiende.

Ndio shida yenu, mnadhani kuonekana na Wazungu ni jambo la maana kuliko kujenga nchi yenu...
 
hahahahhaaa hata huko atasema "haki ya Mungu ngoja niwe rais, mtaona kazi yangu! mimi ni kaaaaaaazzzzziiiiii"

hahaahaa ccm sijui walimwokota wapi huyu mluga luga 🙂
 
Ingekuwa ni Lowassa kakwepa mahojiano tusingesikia mwisho wa hiyo habari!
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha ajabu, jamaa akasepa dakika za mwisho.

Kwa maswali yale aliyopigwa Lowassa, no wonder Magufuli anakimbia. Huu ni udhaifu pia.

BBC waje akiisha kuapishwa. Kwa sasa ana mambo muhimu ya kukamilisha kampeni.
 
Jamaa kaona ndio njia pekee ya kuepuka masuali

:-D :-D :thumbup:
 
hahaaaa BBC waongo watamdanganya kuwa watamhoji kwa kiswahili akifika wanaanza kutiririka kizungu mwanzo kati mwisho...hatareeee

Ndo atajibu anaeongeaga jukwaani "lindi kuchele, mwanza mwangaluka" ha ha ha BBC wamenifurahisha ila wamsake wamhoji
 
Back
Top Bottom