Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...
Teh teh teh.....
Labda anaogopa watamchenjia katikati ya mahojiano na kuchomekea Kizungu:wink:.
Zaidi ya Barabara hakuna kingine anachojua.
Huko BBC ataleta aibu tupu, bora asiende.
Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha ajabu, jamaa akasepa dakika za mwisho.
Kwa maswali yale aliyopigwa Lowassa, no wonder Magufuli anakimbia. Huu ni udhaifu pia.
Hahahahaha.. Evelyn Salt.
You have just made my night Evelyn Salt
hahaaaa BBC waongo watamdanganya kuwa watamhoji kwa kiswahili akifika wanaanza kutiririka kizungu mwanzo kati mwisho...hatareeee
Hahahahhahahajhahahahjahahajahah...jiran umenichekesha sana