Magufuli angekuwepo sio tu vitu vingepanda bei, vingeadimika kabisa

Yule alikuwa anacheza na akili za watu hasa wajinga kama wewe,kwenye karne ya utandawazi hakuna siri za kijinga.
 
Mwache mzee wa watu apumzike...kwanza hayupo tena! Ongelea current issues na viongozi wake
 
Sasa si afadhali kipindi hiki cha Samia kuliko kile kipindi Magufuli alitumia jeshi kuwapora na kisha zikaenda kumwaga baharini?
Uongo ni dhambi.
Km hujui kitu ni bora kuuliza au kukaa kimya.
 
si bora vitu, watu wangeisha kwa kupotea.
 
Thubutu asali itoke wapi!!!!??
 
Nchi ipi ya Afrika imenunua mafuta kutoka russia,? Russia huwezi kununua mafuta sababu imewekewa vikwazo
Kama ulaya wananunua hayo mafuta,nchi za Asia zinanunua hayo mafuta kitu gani kinaweza kutufanya Sisi waafrika tusiweze kununua hayo mafuta basi Tu tunaongozwa na wajinga Sasa hivi lakini magufuli angekuwa na udhubutu na tungenunua basi Tu tunaongozwa na viongozi dhaifu.
 
Pumba tupu.
 
Tunaongelea kile alichokipanda
Amepanda nini? Kwani yeye ndio kasababisha bei za bidhaa kupanda leo hii? Nani yupo madarakani sasa? Je kipindi chake bei zilipanda hivi? Chuki zako binafsi dhidi ya Magufuli ndio zime kufanya uandike huu Uzi afu huelewi hata ulichokiandika mwenyewe!!!!
 

wewe ndugu yake na mungu? wewe na mama samia pacha?
 
Amepanda chuki,ufisadi,tozo,ujinga,upumbavu,ukabila,uvyama na ukanda
 
Kupanda kwa bei za bidhaa ni matokeo ya kupiga marufuku mikutano ya Vyama vya Siasa,Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019,Uchaguzi Mkuu 2020 na Bunge la chama kimoja alilolitaka Magufuri.
 
Na bado mzimu wa Magufuli utaendelea kuwafeera kila usiku hadi mtapoacha kumuongelea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…