Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Ametuvusha salama kipindi cha Covid-19.Ni nini cha pekee alichofanya Magufuli ambacho hakijawahi kufanyika huko nyuma?
Kama una akili na ufahamu na uwezo wa kufuatilia mambo, utagundua kuwa Magufuli alikuwa anaendesha siasa za uwongo kuwahadaa wajinga wamwone kuwa anafanya mambo makubwa sana ambayo hayajawahi kufanyika, wakati hakuna hata moja lililokuwa jipya
Miaka yote aliyokaa madarakani ali-control inflation. And mind you, inflation kwa Tanzania ilikuwa uncontrollable tangu June/July mwaka jana.
Uchumi unahitaji viongozi aina ya Magufuli.