Magufuli aokoa maisha ya Lemutuz, ilibaki dakika 30 apoteze maisha

Wamejua udhaifu wake na wanatumia fursa vizuri.
1. Msifie
2. Msifie
3. Msifie

Baada ya hapo kaa pembeni usubiri neema. Ukiona kimya, anza mchakato upya.
Kweli mzeee baba ila wanamsifia mpk mwenywe anaogopa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani...
Mkuu unategemea le mutuz apone atoke hospitali akiwa na akili zaidi ya hiyo? Huyo ni mgonjwa wa kudumu, hospitali huwa anaenda kupumzika tu
 
Madame, hebu soma kwanza ulichoandika kama hata wewe utaelewa
 
Hili jamaa babake alikosea sana kumzaa...
 
Hii habari afadhali Nimesoma nikiwa nimeshafungua swaum maaana doh
 
Alijuaje kuwa amebakiza Dakika 30 afe. Hili jitu linene sijui lipoje.
 
Lemutuz leo kawa mnyonge wakati mwanzo alisema yupo private hospital?
 
Dah! huyu jamaa ni kiongozi wa timu ya sifa na kuabudu, so usishangae pambio zake.
 
Kwani hata bima hana?????hakuwa na pesa za kulipa pale pale Jakaya ? Kweli lemutuz ni aibu kabisa. Ndo taabu ya watoto wa nje. Dada zake wote wapo njema. Yeye ndo kabwela peke yake.
 
Hivi unajuaje kwamba zimebaki dakika 30 kabla hujafa?!!??
Jamaa bwege sana badala ya kushukuru madaktari anashukuru kujipendekeza kusiko husika.Kwanza hakua na ugonjwa huyu asingeweza kushinda instagram akituma picha za alipolazwa.Mara Ac sijui ...
W. J. Malecela
 

Mbona sijaelewa kitu?
Je JPM kalipia matibabu/gharama za hospitali au katoa kibali na kugharamikia gharama za safari? au

JPM ndiye alikuwa ameamuru atolewe roho/uhai hivyo kaghahiri na kumsamehee?
 
Hizi kufuru zenu Mungu anawangalia tu siku akiwashukia ndio mtaimba haleluya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…