aptoso
Member
- Apr 27, 2012
- 21
- 9
Kweli mzeee baba ila wanamsifia mpk mwenywe anaogopaWamejua udhaifu wake na wanatumia fursa vizuri.
1. Msifie
2. Msifie
3. Msifie
Baada ya hapo kaa pembeni usubiri neema. Ukiona kimya, anza mchakato upya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mzeee baba ila wanamsifia mpk mwenywe anaogopaWamejua udhaifu wake na wanatumia fursa vizuri.
1. Msifie
2. Msifie
3. Msifie
Baada ya hapo kaa pembeni usubiri neema. Ukiona kimya, anza mchakato upya.
Biblia inasema wazi "Amelaanika anayemtegemea mwanadamu".
Yeremia 17:5Ni Yeremia ngapi mkuu?
Mkuu unategemea le mutuz apone atoke hospitali akiwa na akili zaidi ya hiyo? Huyo ni mgonjwa wa kudumu, hospitali huwa anaenda kupumzika tu
Madame, hebu soma kwanza ulichoandika kama hata wewe utaelewaMimi nimeelewa anamshukuru Mkulu kwa yote aliyofanya na kuongeza matibabu kupanda juu kwa wagonjwa kuhudumiwa bila wa mahospitali kujali huyu ni mnyonge au la.. hizo dk 30 zitakuwa zile za huduma alizopata mwanzoni na kama hasingezipata.. ingekuwa habari ingine..
Wote tunajua matunda tunayochuma nchini kutokana na juhudi za Mkulu wetu.
Ila katulia shaaaa.. lazima anaona kama yupo jela kwa kukosa kufanya mizunguko yake[emoji3]
Ugua pole Le Mutuz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madame, hebu soma kwanza ulichoandika kama hata wewe utaelewa
Huyu hana kigezo cha kujadiliwaLemutuz leo kawa mnyonge wakati mwanzo alisema yupo private hospital?
Huyo ni moja kati ya hazina za nchi, kumbuka anamiliki kibamia cha taifa.Huyu hana kigezo cha kujadiliwa
Hujui jiwe anatafuta CV ili siku akifa akawe kiongozi wa malaikaMagufuli ndiye aliyeongea na mtoa roho.
Jamaa bwege sana badala ya kushukuru madaktari anashukuru kujipendekeza kusiko husika.Kwanza hakua na ugonjwa huyu asingeweza kushinda instagram akituma picha za alipolazwa.Mara Ac sijui ...Hivi unajuaje kwamba zimebaki dakika 30 kabla hujafa?!!??
Mobimba Le Nyeyenye kamshukuru Rais JPM kwa kuokoa maisha yake maana ilibaki dakika 30 tu afe.
Hii inadhihirisha ile kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwamba inabidi hata Mungu amshukuru JPM. Kwa hakika kwa JPM kila goti litapigwa, sote tunashuhudia jinsi mabeberu yanavyohaha kuingia ikulu kujipendekeza na kumpongeza kwa kazi nzuri anayofanya ya KUIMARISHA BIASHARA, MAISHA YA WANANCHI, UMOJA AMANI UPENDO NA MSHIKAMANO na hii tena ya kuokoa maisha ya mtu muhimu kabisa LE MUTUZ ni jambo kubwa sana haswa ukichukulia ya kwamba muda si mrefu atateuliwa kuwa Balozi wa kudumu wa Tanzania huko UN.
View attachment 1094956