Magufuli aokoa maisha ya Lemutuz, ilibaki dakika 30 apoteze maisha

Magufuli aokoa maisha ya Lemutuz, ilibaki dakika 30 apoteze maisha

Wamejua udhaifu wake na wanatumia fursa vizuri.
1. Msifie
2. Msifie
3. Msifie

Baada ya hapo kaa pembeni usubiri neema. Ukiona kimya, anza mchakato upya.
Kweli mzeee baba ila wanamsifia mpk mwenywe anaogopa
 
Mimi nimeelewa anamshukuru Mkulu kwa yote aliyofanya na kuongeza matibabu kupanda juu kwa wagonjwa kuhudumiwa bila wa mahospitali kujali huyu ni mnyonge au la.. hizo dk 30 zitakuwa zile za huduma alizopata mwanzoni na kama hasingezipata.. ingekuwa habari ingine..

Wote tunajua matunda tunayochuma nchini kutokana na juhudi za Mkulu wetu.

Ila katulia shaaaa.. lazima anaona kama yupo jela kwa kukosa kufanya mizunguko yake[emoji3]
Ugua pole Le Mutuz
Madame, hebu soma kwanza ulichoandika kama hata wewe utaelewa
 
Hii habari afadhali Nimesoma nikiwa nimeshafungua swaum maaana doh
 
Alijuaje kuwa amebakiza Dakika 30 afe. Hili jitu linene sijui lipoje.
 
Lemutuz leo kawa mnyonge wakati mwanzo alisema yupo private hospital?
 
Dah! huyu jamaa ni kiongozi wa timu ya sifa na kuabudu, so usishangae pambio zake.
 
Kwani hata bima hana?????hakuwa na pesa za kulipa pale pale Jakaya ? Kweli lemutuz ni aibu kabisa. Ndo taabu ya watoto wa nje. Dada zake wote wapo njema. Yeye ndo kabwela peke yake.
 
Hivi unajuaje kwamba zimebaki dakika 30 kabla hujafa?!!??
Jamaa bwege sana badala ya kushukuru madaktari anashukuru kujipendekeza kusiko husika.Kwanza hakua na ugonjwa huyu asingeweza kushinda instagram akituma picha za alipolazwa.Mara Ac sijui ...
W. J. Malecela
 
Mobimba Le Nyeyenye kamshukuru Rais JPM kwa kuokoa maisha yake maana ilibaki dakika 30 tu afe.

Hii inadhihirisha ile kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwamba inabidi hata Mungu amshukuru JPM. Kwa hakika kwa JPM kila goti litapigwa, sote tunashuhudia jinsi mabeberu yanavyohaha kuingia ikulu kujipendekeza na kumpongeza kwa kazi nzuri anayofanya ya KUIMARISHA BIASHARA, MAISHA YA WANANCHI, UMOJA AMANI UPENDO NA MSHIKAMANO na hii tena ya kuokoa maisha ya mtu muhimu kabisa LE MUTUZ ni jambo kubwa sana haswa ukichukulia ya kwamba muda si mrefu atateuliwa kuwa Balozi wa kudumu wa Tanzania huko UN.

View attachment 1094956

Mbona sijaelewa kitu?
Je JPM kalipia matibabu/gharama za hospitali au katoa kibali na kugharamikia gharama za safari? au

JPM ndiye alikuwa ameamuru atolewe roho/uhai hivyo kaghahiri na kumsamehee?
 
Hizi kufuru zenu Mungu anawangalia tu siku akiwashukia ndio mtaimba haleluya
 
Back
Top Bottom