Magufuli aongelea unafiki wa Kenya kwenye media na biashara.

Unasema lazima amesoma mwenyewe!! Mimi nakwambia hakusoma mwenyewe. Ana reports nyingi za kupitia hana muda wa kusoma gazeti la Kenya.

Toka nime jua kusoma sijawahi kukutana na habari kuhusu Kenya ambayo imetengenezwa kuichafua kwenye gazeti lolote lile. Actually Kenyan news are rarely written in our newspapers. Ata hapa tuki waletea habari zenu tuna qoute media zenu.

Be rest assured hakuna gazeti lolote Tz lina weza kuwa andika vibaya, niki copy akili yako nitasema "You are insignificant to us" ila kwa akili yangu nita kwambia Wa Tz naturaly sisi ni waungwana hatujafunzwa hivyo

Media zile za Tanzania ninazozijua ama zingine, maana taarifa za Kenya huandikwa sana na magazeti yenu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] by Mh Halima Mdee Ikulu imetumia 123% ya bajeti ya ikula zaidi ya bajeti iliyopagiwa. Hivi hayo matumizi alikua anatumia kwenye nini kama wageni wanapewa pipi na juice? Kweli kuna watu wachoyo na wabinafsi
Yaani anapea watu biskuti na juice. Enyewe Tanzania bado mko stone age.
 
Hapo lazima alisoma gazeti mwenyewe na akakerwa kiasi cha kutoa comment yake kwa umma.
In any case kusoma au kusomewa ni personal preference, rais moi alikua akijisomea mwenyewe, Shida tunayo ongelea hapa ni kwamba gazeti hilo LA Kenya lilikua relevant enough kumkera hadi anaanza kulia lia hadharani!
Hivi ingekua iliandikwa na gazeti la Malawi au Somali au South Sudan, JPM angepoteza mda wake kuongelea hio story, you will never find our top echelon leaders commenting about stories or "propaganda" written in one of your print media because to us your newspapers and media is irrelevant and of no consequences.
Leo hii mkiamua media zote Tz zichapishe story kama "KQ company has collapsed!" wakenya hatutangojea viongozi wetu watutetee, tutawachangamkia mitandaoni na humo ndani ya media,mpaka mfute hio story kiasi cha kua by the time hio habari imemfikia rais and atakua hana LA ziada
Magufuli uongelea habari zote za nje na ndani ya nchi zinazo ongelea TZ pindï anapo ona zinafaa. Huwa asemi direct kuwa ni nchi fulani lakini sisi tunakuwa tumeshajua
 
Unasema lazima amesoma mwenyewe!! Mimi nakwambia hakusoma mwenyewe. Ana reports nyingi za kupitia hana muda wa kusoma gazeti la Kenya.

Toka nime jua kusoma sijawahi kukutana na habari kuhusu Kenya ambayo imetengenezwa kuichafua kwenye gazeti lolote lile. Actually Kenyan news are rarely written in our newspapers. Ata hapa tuki waletea habari zenu tuna qoute media zenu.

Be rest assured hakuna gazeti lolote Tz lina weza kuwa andika vibaya, niki copy akili yako nitasema "You are insignificant to us" ila kwa akili yangu nita kwambia Wa Tz naturaly sisi ni waungwana hatujafunzwa hivyo
Nimeshajibu hilo swali LA kusoma au kusomewa , I will requote my comment ...
"In any case kusoma au kusomewa ni personal preference, rais moi alikua akijisomea mwenyewe, Shida tunayo ongelea hapa ni kwamba gazeti hilo LA Kenya lilikua relevant enough kumkera hadi anaanza kulia lia hadharani!"

Alafu hapo unaposema media ya Tz haijawahi andika story mbaya kuhusu Kenya, huo ni uongo mtupu, ni wakenya wenyewe ndo wanaweza Ku judge , Mimi nimeshawahi kusoma habari zaidi ya moja kutoka media za Tanzania ambayo zilikua zimeongezwa chumvi, lakini mi hua na ignore tu
 
Magufuli uongelea habari zote za nje na ndani ya nchi zinazo ongelea TZ pindï anapo ona zinafaa. Huwa asemi direct kuwa ni nchi fulani lakini sisi tunakuwa tumeshajua
Ye mwenyewe muoga kupanda ndege kuzitembelea hizo nchi 😳😳 Food for thought 🙁
 
Nimeshajibu hilo swali LA kusoma au kusomewa , I will requote my comment ...
"In any case kusoma au kusomewa ni personal preference, rais moi alikua akijisomea mwenyewe, Shida tunayo ongelea hapa ni kwamba gazeti hilo LA Kenya lilikua relevant enough kumkera hadi anaanza kulia lia hadharani!"

Alafu hapo unaposema media ya Tz haijawahi andika story mbaya kuhusu Kenya, huo ni uongo mtupu, ni wakenya wenyewe ndo wanaweza Ku judge , Mimi nimeshawahi kusoma habari zaidi ya moja kutoka media za Tanzania ambayo zilikua zimeongezwa chumvi, lakini mi hua na ignore tu
Tupe source
 
Ye mwenyewe muoga kupanda ndege kuzitembelea hizo nchi 😳😳 Food for thought 🙁
The reason kwa nini Magufuli apandi ndege hasa zile zinazoenda juu zaidi nikuwa huwa anamatatizo ya mwoyo (heart problem) hiyo alisha ambiwa na doctors. So you want him to risk his life. Tuna muitaji sana raisi. No one will ever tell you this. Nimekwambia iliuwelewe
 
Tupe source
Hivyo ni vitu ambavyo tulikua tunajua wakati moi alikua rais, unafikiri utapata source wapi wakati huo hakuna cha mtandao.

Moi was a paranoid fella who hardly trusted people, the theory was alijisomea magazeti mwenyewe kwasababu alihofia wale wafanyikazi wake wangemfichia story mbaya mbaya na kumsomea zile nzuri pekee ili kumfurahisha....

Soma hii umwelewe Moi, President Moi’s side that only few Kenyans knew.
 
Tuletee taharifa ambayo gazeti la Tz lime ichafua Kenya.

Sasa huyo Moi hizo taharifa mbaya ambazo alitaka asome mwenyewe ili asidanganywe alikua akisha soma anaishia kucheka au alikua analia. Maana katika maraisi ambae aliepelekesha Kenya hovyo huyo Mzee ni mmoja wapo. Au alikua anataka asome mwenyewe ili akawashughulikie waandishi.
 
Back
Top Bottom