Magufuli asipochunga atarudisha Tanzania nyuma

Mmeshindwa kujenga Chama chenu kutoka chini mtaweza kuishinda CCM? Chama hakiwezi kujijenga mkipewa nchi mtaweza kujenga. CCm imeshinda kihalali Kwa sababu ina wanachama na wapiga Kura wengi.
 
Waache Hawa wakenya na Chadema wapige kelele watanzania tunajielewa Sana.
 
Tanzania haiwezi kurudi nyuma na Hakuna anayeweza kutuyumbisha.
 
Lunatic ideas
 
Acha ulimbukeni kiingereza ni lugha Kama lugha nyingine mbona magufuli anatumia kiswahili lakini habari zake zimeandikwa Kwa lugha mbalimbali duniani
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
 
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
Wewe Nani amekuambia hawezi kujieleza usiwe limbukeni anapenda kutumia kiswahili kwa sababu ndio lugha yetu, usiwe limbukeni mbona kiingereza ni lugha ya kawaida Sana.
 
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.

Nini maana ya "your a coward"
🤣 🤣 🤣
Kweli kingereza siyo chetu
 
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
Nimejaribu kutumia google nijue maana ya hiyo sentensi ya kingereza.
Ni vichekesho tupu
Tumia kiswahili bhana achana na kingereza.
Ona sasa unajiaibisha
 
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
Yaani nimesisimka sana kuhusu hiki kingereza. Au ulikuwa labda jaribu kuandika "you are coward" kidogo kwa mbali kingereza kinakuja kuja.
 
Wanaume wa Nairobi hovyo kabisa. Yaani wewe habari za kusikia tu unaamua kuzishadidia kweli? Hapo uko karibu ungekuja field ujionee bongo tunaendelea na maisha kama kawa. Media tumewaachia usa na allies wake. Hatutaki maneno
bila VPN?
 
Acha ulimbukeni kiingereza ni lugha Kama lugha nyingine mbona magufuli anatumia kiswahili lakini habari zake zimeandikwa Kwa lugha mbalimbali duniani
Kenya ndio kitu pekee walichobakisha kwa Tanzania. Kurekebisha Kiingereza, kwengine kote tumewashinda.

Hata hicho Kiingereza ni kwasababu tumeamua kutokithamini, lakini kama tungekithamini pia tungewashinda
 
Kwahiyo wewe hata hizi opinion polls zilizofanywa na mashirika ya nje miezi miwili kabla ya uchaguzi pia zilidanganya? Tanzania: JPM Commands Huge Lead in Opinion Polls
 
Hivi Barcelona inaweza kusherehekea ushindi dhidi ya Gormahia?, Mwaka huu hapakua na ushindani wowote ile, tofauti na 2015.

2015 CCM ilikua imevurunda sana, Kikwete nchi ilimshinda kabisa, watu walimchoka sana Kikwete kama ambavyo wakenya walivyomchoka Uhuru Kenyatta sasa hivi, tayari watu walianza kumtaja Lowasa kuchukua nafasi ya Kikwete akiwa bado ndani ya CCM, Magufuli alikua hajulikani kama angepitishwa na CCM, hakuwa na mtandao wowote ndani ya CCM, kama aliokua nao Lowasa.

Lowasa alivyoenfuliwa na CCM na kujiunga na Upinzani, aliondoka na kundi kubwa sana na kura za wanachama wa CCM(ambao ndio wanaojitokeza kupiga kura). Mwaka huu hakuna mgombea yoyote toka CCM aliyejiunga na upinzani mwenye ushawishi mkubwa, hivyo kura zote za CCM zilikwenda kwa wagombea wa CCM.

Opinion polls zote zilizofanyika zilionyesha matokeo hayo, lakini hata dunia nzima mkiwemo ninyi wakenya pia mlijua kwamba Magufuli angeshinda kwa kura nyingi sanahttps://allafrica.com/stories/202010010470.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…