Magufuli asipochunga atarudisha Tanzania nyuma

Magufuli asipochunga atarudisha Tanzania nyuma

Mmeshindwa kujenga Chama chenu kutoka chini mtaweza kuishinda CCM? Chama hakiwezi kujijenga mkipewa nchi mtaweza kujenga. CCm imeshinda kihalali Kwa sababu ina wanachama na wapiga Kura wengi.
Dikteta uchwara magu-fool anababaika na nchi mpaka anazima whatsapp.

Anaweweseka na majinamizi ya mamlaka haramu aliyojitwalia kinyume na matakwa ya wananchi.

Kaamua kutumia migambo wake wa kisiasa kutisha wananchi na mabunduki tuliyoyanunua wenyewe.

Dikteta uchwara anadhani anaimiliki nchi yetu kwenye viganja vyake. Nadhani pia ule ufupi wake unamsababisha kuwa na fukuto la kiburi wakati wote.
 
Hakuna cha ajabu kwenye huo ushindi wa JPM 2020,

FYI: Hata Jakaya Kikwete pia alishinda kwa 81% katika kipindi chake tena alikuwa akipambana na opposition leaders wakubwa zaidi. Inaelekea huijui vizuri Siasa ya Tanzania.

External Pre election Polls karibia zote zilikuwa zinazungumzia ushindi wa between 75% to 87% on JPM favour.

Kwa panda wa wabunge kwanza opposition parties huwa hazipati wabunge wengi na kikubwa zaidi, kama unafuatilia vizuri siasa za Bongo utakua unaelewa ni namna gani wabunge wa upinzani walivyokua wanawatesa wananchi wao waliowachagua:

1- Walitaka JPM weke lockdown kama ya Kenya
2- Walisusia kuingia bingeni kwa siku 14 eti kwa kwasababbu ya COVID-19
3- Walikuwa wanaingia bungeni lakini walikuwa wanavaa plaster mdomoni hivyo basi walikuwa hawachangii chochote
4- Walikua wanagombana wenywewe kwa wenuewe juu ya michango ya lazima ya kukatwa posho za ubunge huku pesa hio yote ikienda kwa mwenyekiti wa chama, hii ilifanya mapa anti corruption unit kuingilia kati na kuchinguza vyama vyao.
5- Wabunge was Wengi pamoja na madiwani wao wengi mahiri walijiondoa na kuunga juhudi za JPM
6- Sehemu zote mabazo zilikuwa ni opposition strongholds mirada mikubwa ilikuwa inakwamishwa kwa makusudi na wabunge pamoja na madiwani wa opposition, kwa mfano mmoja tu, ile Mbezi Luis Bus Terminal ilitakiwa iwe imekamilika zamani sana kabla ya bus terminal nyingi za mikoani au kabla hata ya ile ya Dodoma lakini jamda wa opposition waliweka figs kwakuwa walikua wana-control city council pamoja na mucipila councils nyingi za Dar.

Kwa kifupi, Wananchi wengi katika opposition strongholds walikuwa wamechoka na matukio kama hayo tajwa hapo juu. Kitu kilichokuja kuwamaliza kabisa ni pale JPM alipokuwa akikampeni na kusema anataka connection, meaning anataka diwani wa CCM, pamoja na mbunge wa CCM ili yeye aweze kuwasimamia vizuri ktk kuleta maendeleo. Wananchi walimsikia hivyo na kuahidi kumpatia hao wawakilishi kama alivyoomba.
Waache Hawa wakenya na Chadema wapige kelele watanzania tunajielewa Sana.
 
The Tanzania elections were not free and fair. From pre-election intimidation of the opposition, to ballot staffing, media gagging, lack of transparency in vote counting.

Magufuli did not have to do all this just to get a higher victory margin, he would have won fairly with a smaller margin anyway.

The Tanzania we are seeing in the media at this time is not the Tanzania we are used to.

Please Tanzania don't go down this path where elections will shut down a country like it happens in Kenya, something we are fighting to solve.

Magufuli is taking Tanzania backwards
Tanzania haiwezi kurudi nyuma na Hakuna anayeweza kutuyumbisha.
 
The Tanzania elections were not free and fair. From pre-election intimidation of the opposition, to ballot staffing, media gagging, lack of transparency in vote counting.

Magufuli did not have to do all this just to get a higher victory margin, he would have won fairly with a smaller margin anyway.

The Tanzania we are seeing in the media at this time is not the Tanzania we are used to.

Please Tanzania don't go down this path where elections will shut down a country like it happens in Kenya, something we are fighting to solve.

Magufuli is taking Tanzania backwards
Lunatic ideas
 
Acha ulimbukeni kiingereza ni lugha Kama lugha nyingine mbona magufuli anatumia kiswahili lakini habari zake zimeandikwa Kwa lugha mbalimbali duniani
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
 
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
Wewe Nani amekuambia hawezi kujieleza usiwe limbukeni anapenda kutumia kiswahili kwa sababu ndio lugha yetu, usiwe limbukeni mbona kiingereza ni lugha ya kawaida Sana.
 
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
Nimejaribu kutumia google nijue maana ya hiyo sentensi ya kingereza.
Ni vichekesho tupu
Tumia kiswahili bhana achana na kingereza.
Ona sasa unajiaibisha
Screenshot_20201104-090933.png
 
your a coward , nonsense...maelezo yakijinga so pathetic a Phd holder hawezi hata to express himself.
Yaani nimesisimka sana kuhusu hiki kingereza. Au ulikuwa labda jaribu kuandika "you are coward" kidogo kwa mbali kingereza kinakuja kuja.
 
Wanaume wa Nairobi hovyo kabisa. Yaani wewe habari za kusikia tu unaamua kuzishadidia kweli? Hapo uko karibu ungekuja field ujionee bongo tunaendelea na maisha kama kawa. Media tumewaachia usa na allies wake. Hatutaki maneno
bila VPN?
 
Acha ulimbukeni kiingereza ni lugha Kama lugha nyingine mbona magufuli anatumia kiswahili lakini habari zake zimeandikwa Kwa lugha mbalimbali duniani
Kenya ndio kitu pekee walichobakisha kwa Tanzania. Kurekebisha Kiingereza, kwengine kote tumewashinda.

Hata hicho Kiingereza ni kwasababu tumeamua kutokithamini, lakini kama tungekithamini pia tungewashinda
 
Dikteta uchwara magu-fool anababaika na nchi mpaka anazima whatsapp.

Anaweweseka na majinamizi ya mamlaka haramu aliyojitwalia kinyume na matakwa ya wananchi.

Kaamua kutumia migambo wake wa kisiasa kutisha wananchi na mabunduki tuliyoyanunua wenyewe.

Dikteta uchwara anadhani anaimiliki nchi yetu kwenye viganja vyake. Nadhani pia ule ufupi wake unamsababisha kuwa na fukuto la kiburi wakati wote.
Dikteta uchwara magu-fool anababaika na nchi mpaka anazima whatsapp.

Anaweweseka na majinamizi ya mamlaka haramu aliyojitwalia kinyume na matakwa ya wananchi.

Kaamua kutumia migambo wake wa kisiasa kutisha wananchi na mabunduki tuliyoyanunua wenyewe.

Dikteta uchwara anadhani anaimiliki nchi yetu kwenye viganja vyake. Nadhani pia ule ufupi wake unamsababisha kuwa na fukuto la kiburi wakati wote.
Kwahiyo wewe hata hizi opinion polls zilizofanywa na mashirika ya nje miezi miwili kabla ya uchaguzi pia zilidanganya? Tanzania: JPM Commands Huge Lead in Opinion Polls
 
Nadhani hata naye alipatwa na mshtuko wa kilichotendeka, sidhani alikusudia iwe hivi, hao wasimamizi wa vituo vya uchaguzi waliogopa hadi kila mmoja akataka asiwe wa kwanza kuruhusu upinzani kushinda kwenye kituo chake. Haya ndio matunda ya kuweka nchi kwenye taswira ya uwoga, kila mmoja anaogopa na kuishia kufanya madudu ili amfurahishe mkulu.

Hata MaCCM wengi wapo kwenye mshtuko na wameingiwa na aibu, ni ile tu wanajipa ujoto ili hii issue ipite haraka lakini haijawapa raha.
Ukitaka uamini, kwenye ushindi wa 2015 walisheherekea sana na kujitokeza barabarani, ila huu uchaguzi ambao wamefuta upinzani kabisa wamenywea utadhani taifa limekumbwa na msiba, hawa wa kwenye mitandao tu ndio wanapiga makelele lakini wengine wote wameufyata.

Kuna hii video inaonyesha mbunge wa CCM akizomewa pale alipojaribu kujitokeza ashukuru wananchi Uchaguzi 2020 - Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi
Hivi Barcelona inaweza kusherehekea ushindi dhidi ya Gormahia?, Mwaka huu hapakua na ushindani wowote ile, tofauti na 2015.

2015 CCM ilikua imevurunda sana, Kikwete nchi ilimshinda kabisa, watu walimchoka sana Kikwete kama ambavyo wakenya walivyomchoka Uhuru Kenyatta sasa hivi, tayari watu walianza kumtaja Lowasa kuchukua nafasi ya Kikwete akiwa bado ndani ya CCM, Magufuli alikua hajulikani kama angepitishwa na CCM, hakuwa na mtandao wowote ndani ya CCM, kama aliokua nao Lowasa.

Lowasa alivyoenfuliwa na CCM na kujiunga na Upinzani, aliondoka na kundi kubwa sana na kura za wanachama wa CCM(ambao ndio wanaojitokeza kupiga kura). Mwaka huu hakuna mgombea yoyote toka CCM aliyejiunga na upinzani mwenye ushawishi mkubwa, hivyo kura zote za CCM zilikwenda kwa wagombea wa CCM.

Opinion polls zote zilizofanyika zilionyesha matokeo hayo, lakini hata dunia nzima mkiwemo ninyi wakenya pia mlijua kwamba Magufuli angeshinda kwa kura nyingi sanahttps://allafrica.com/stories/202010010470.html
 
Back
Top Bottom