The Tanzania elections were not free and fair. From pre-election intimidation of the opposition, to ballot staffing,media gagging, lack of transparency in vote counting.
Magufuli did not have to do all this just to get a higher victory margin, he would have won fairly with a smaller margin anyway.
The Tanzania we are seeing in the media at this time is not the Tanzania we are used to.
Please Tanzania don't go down this path where elections will shut down a country like it happens in Kenya, something we are fighting to solve.
Magufuli is taking Tanzania backwards
Hakuna cha ajabu kwenye huo ushindi wa JPM 2020,
FYI: Hata Jakaya Kikwete pia alishinda kwa 81% katika kipindi chake tena alikuwa akipambana na opposition leaders wakubwa zaidi. Inaelekea huijui vizuri Siasa ya Tanzania.
External Pre election Polls karibia zote zilikuwa zinazungumzia ushindi wa between 75% to 87% on JPM favour.
Kwa panda wa wabunge kwanza opposition parties huwa hazipati wabunge wengi na kikubwa zaidi, kama unafuatilia vizuri siasa za Bongo utakua unaelewa ni namna gani wabunge wa upinzani walivyokua wanawatesa wananchi wao waliowachagua:
1- Walitaka JPM weke lockdown kama ya Kenya
2- Walisusia kuingia bingeni kwa siku 14 eti kwa kwasababbu ya COVID-19
3- Walikuwa wanaingia bungeni lakini walikuwa wanavaa plaster mdomoni hivyo basi walikuwa hawachangii chochote
4- Walikua wanagombana wenywewe kwa wenuewe juu ya michango ya lazima ya kukatwa posho za ubunge huku pesa hio yote ikienda kwa mwenyekiti wa chama, hii ilifanya mapa anti corruption unit kuingilia kati na kuchinguza vyama vyao.
5- Wabunge was Wengi pamoja na madiwani wao wengi mahiri walijiondoa na kuunga juhudi za JPM
6- Sehemu zote mabazo zilikuwa ni opposition strongholds mirada mikubwa ilikuwa inakwamishwa kwa makusudi na wabunge pamoja na madiwani wa opposition, kwa mfano mmoja tu, ile Mbezi Luis Bus Terminal ilitakiwa iwe imekamilika zamani sana kabla ya bus terminal nyingi za mikoani au kabla hata ya ile ya Dodoma lakini jamda wa opposition waliweka figs kwakuwa walikua wana-control city council pamoja na mucipila councils nyingi za Dar.
Kwa kifupi, Wananchi wengi katika opposition strongholds walikuwa wamechoka na matukio kama hayo tajwa hapo juu. Kitu kilichokuja kuwamaliza kabisa ni pale JPM alipokuwa akikampeni na kusema anataka connection, meaning anataka diwani wa CCM, pamoja na mbunge wa CCM ili yeye aweze kuwasimamia vizuri ktk kuleta maendeleo. Wananchi walimsikia hivyo na kuahidi kumpatia hao wawakilishi kama alivyoomba.