Anakwepa tu lakini anajua fika kwamba pamoja na mambo mengine hayo zile nyumba za serikali walizogawana (chini ya usimamizi wake) ni kati ya mambo makubwa yanayowafanya watu waichukie ccm.Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu walianza kukichukia.
neenda kumuulize sumaye atakujibu vizuri madai yako.
Mkuu chanzo ni gazeti la NIPASHE
Hawezi kumtaja ht mmoja alikosa cha kuongea angepiga PUSHAPU
Mkuu nimecheka sana , huyu bwana ni mkwara wa mdomoni tu si juxijuzi1. Ufisadi wa CCM ni mfumo; naweza kutamka hapa authoritatively kwamba John Magufuli hana ubavu wala mbinu za kuubadilisha hata chembe! kwa sababu CCM kuna watu wenye chama chao; na kwa bahati mbaya Magufuli sio mmoja wao!!
2. Magufuli hana ushawishi wowote wa maana ndani ya CCM; amelelewa kwenye periphery ya chama sio M-CCM kindakindaki kama walivyo kina Kikwete na Lowassa; Option aliyonayo Magufuli ni kutumia madaraka ya Urais na ubabe; ambao sio mbinu salama kwake kwa sababu watagang up na kumgeuka ajikute anaingia majanga kama yaliyomkuta Thabo Mbeki kule Afrika Kusini - RECALL!!
3: Mkakati wa kubadilisha katiba ya CCM uko katika advanced stages ili kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Rais wa Jamhuri; na mkakati huo ni mahsusi kumdhibiti Magufuli kutokana na kiinachoitwa HULKA YAKE YA UBABE; hilo likikamilika Magufuli hataweza kufurukuta na Urais wake, brakes kulia na kushoto juu na chini!! atakuwa frustrated na kuanza kutumia state power (mamlaka ya Urais na vyombo vya dola) to reign them in; kwa maana ya kuwadhibiti which is a perfect recipe for total anarchy ndani ya chama ambayo for obvious reasons therefore NJI nzima!!
Hata hivyo tusubiri tuone!!!!!!!
Mkuu nimecheka sana , huyu bwana ni mkwara wa mdomoni tu si juzijuzi alitamka wazi kuwa anawaogapa mafisa katika mktano wa hadhara huko lindi.1. Ufisadi wa CCM ni mfumo; naweza kutamka hapa authoritatively kwamba John Magufuli hana ubavu wala mbinu za kuubadilisha hata chembe! kwa sababu CCM kuna watu wenye chama chao; na kwa bahati mbaya Magufuli sio mmoja wao!!
2. Magufuli hana ushawishi wowote wa maana ndani ya CCM; amelelewa kwenye periphery ya chama sio M-CCM kindakindaki kama walivyo kina Kikwete na Lowassa; Option aliyonayo Magufuli ni kutumia madaraka ya Urais na ubabe; ambao sio mbinu salama kwake kwa sababu watagang up na kumgeuka ajikute anaingia majanga kama yaliyomkuta Thabo Mbeki kule Afrika Kusini - RECALL!!
3: Mkakati wa kubadilisha katiba ya CCM uko katika advanced stages ili kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Rais wa Jamhuri; na mkakati huo ni mahsusi kumdhibiti Magufuli kutokana na kiinachoitwa HULKA YAKE YA UBABE; hilo likikamilika Magufuli hataweza kufurukuta na Urais wake, brakes kulia na kushoto juu na chini!! atakuwa frustrated na kuanza kutumia state power (mamlaka ya Urais na vyombo vya dola) to reign them in; kwa maana ya kuwadhibiti which is a perfect recipe for total anarchy ndani ya chama ambayo for obvious reasons therefore NJI nzima!!
Hata hivyo tusubiri tuone!!!!!!!
Mkuu nimecheka sana , huyu bwana ni mkwara wa mdomoni tu si juzijuzi alitamka wazi kuwa anawaogapa mafisa katika mktano wa hadhara huko lindi.