Hii kali sanaFamili ya mwalimu nyerere [emoji1438][emoji3603]
[SUB]Wewe pimbi kweli. Kwani hiyo miundombinu amejenga kwa hela ya mfukoni mwake! Na unataka utuambie kabla ya kubebwa na akina Kikwete mwaka 2015, hakukua na miundombinu?[/SUB]Kama hamtatumia na hamtumii hii miundo mbinu hamtampa bambav
Hii kali sana
Famili ya mwalimu nyerere [emoji1438]♂️
He huko kwahuyo tena hivi nyie watanzania mnataka nini .amewakomesha matapeli nyie .mlikuwa mnatusumbua sana maofisini bambav.ngoja tuwajengee nchi kwanza mkitaka baadaye mleteni jamaa yenu awape vyote wachina na wazungu.kwasasa ujinga hatutaki na kutawaliwa na kuibiwa kama mafala hatutaki[SUB]Wewe pimbi kweli. Kwani hiyo miundombinu amejenga kwa hela ya mfukoni mwake! Na unataka utuambie kabla ya kubebwa na akina Kikwete mwaka 2015, hakukua na miundombinu?[/SUB]
[SUB]Uvccm mna akili finyu sana.[/SUB]
Huu ndo ukweli..... Hakuna mwanafamilia au ukoo wa Nyerere wa kuipigia kura ccmFamili ya mwalimu nyerere [emoji1438]♂️
Can you imagine.... Yani watoto wa dada ni bora kuliko madaraka na makongoro kweli?Mwenyekiti alishindwa kuwapitisha japo mmoja kati ya Makongoro na Madaraka ambao walipata kura mbili2 na kura5.
Wakawapitisha wengi sana waliopata aina hizo kwenye kura za maoni.
Mfano patrobas katambi nk nk nk.
Jiwe anataka kutawala milele.
Labda wajinga na msiokuwa na vyetiHuu ndo ukweli..... Hakuna mwanafamilia au ukoo wa Nyerere wa kuipigia kura ccm
Hao wanafunzi 7000 wamlaumu Kitila aliyeleta majungu programu ifutweMbona makundi mengi sana mkuuu.
11. Bomoa bomoa ya wakazi wa kimara na kibamba.
12. Bomoa ya kinondoni mkwajuni.
13.wanafunzi 70000 wa UDOM waliofukuzwa usiku
14. Wanahari wote koz wameshindwa kuuza habari zao na kuvitangaza vyombo vyao.
15.Machinga na wajasiliamali wotewanaolipishwa 20000 kila mwaka.
Bia kusahau ukoo wa Mo,Anzory saa nane, Akwilina na ndugu za wote waliookotwa kwenye viloba. Nk nk nk
Mkuu siyo uchaguzi wa serikali za mitaa. Atapataje asilimia 100% wakati atakosa kura ya.Chadema badala ya kumnadi mgombea wenu mmegeuka kuwa wapiga ramli View attachment 1565859
Mkuu naona umepiga ramli yako umebaini ivyo, hongera sanaMkuu siyo uchaguzi wa serikali za mitaa. Atapataje asilimia 100% wakati atakosa kura ya.
1. Familiq ya Mangula
2.Familia ya Makamba
3. Familia ya Kinana
4. Fimilia ya Malecela
5. Familia ya Tizeba
6. Familia ya Mwandosa
7. Familia ya Mnauye
8.Ndugulile
9. Familia ya Masele
10. Familia ya Chenge
ExactlyFamili ya mwalimu nyerere [emoji1438][emoji3603]