11. Familia yanguMkuu siyo uchaguzi wa serikali za mitaa. Atapataje asilimia 100% wakati atakosa kura ya.
1. Familiq ya Mangula
2.Familia ya Makamba
3. Familia ya Kinana
4. Fimilia ya Malecela
5. Familia ya Tizeba
6. Familia ya Mwandosa
7. Familia ya Mnauye
8.Ndugulile
9. Familia ya Masele
10. Familia ya Chenge
Watakao acha kumpigia kura Rais Magufuli hapo 28/10/2020 ni wana JF wachache mnaoandika mambo hayo humu ambamo hao mnaowasemea hawapajui. Mnapigia mbuzi gitaa tu!Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli.
1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti.
2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa.
3. Watumishi wana CCM waliofuzwa kwa vyeti feki wakanyimwa na mafao yao.
4. Wafanyabiashara wana CCM waliokadiliwa kodi ya juu ya TRA wakafunga biashara mpaka leo TIN zao zinasoma deni.
5. Wanafunzi wana CCM wote waliokosa mikopo elimu ya juu kuanzia 2015 mpaka sasa.
6. Wahitimu wa vyuo vikuu wana CCM ambao hawajaajiriwa tangu wamalize elimu ya juu.
7. Wapambe wa CCM wa wagombea wa CCM waliopita bila kupingwa ambao wamekimbilia Dar na kuwaacha na njaa majimboni wapambe.
8. Wana CCM walioongoza kura za maoni lakini wamekatwa lawana zao zote ni kwa Magufuli.
9. Wajumbe wote wa kura ya maoni ambao mgombea wao aliongoza lakini amekatwa.
10. Wakulima wa mazao ya biashara wana CCM ambao wananyonywa na vyama vya ushirika na halmashauri kwa kodi kubwa.
Waambie mkuu miundombinu ni njia ya upigaji majizi yote hupitia hapo kukwiba. Au mwambie akupe mikataba ya kandarasi zote usipotoa chozi.[SUB]Wewe pimbi kweli. Kwani hiyo miundombinu amejenga kwa hela ya mfukoni mwake! Na unataka utuambie kabla ya kubebwa na akina Kikwete mwaka 2015, hakukua na miundombinu?[/SUB]
[SUB]Uvccm mna akili finyu sana.[/SUB]
Da! mkuu hii kali 🤣 🤣Can you imagine.... Yani watoto wa dada ni bora kuliko madaraka na makongoro kweli?
Siku bado zipo. Jiwe anaweza kurekebisha yote haya. After all kura za wasukuma zitafidia!Hii kali sana
Maccm yanaboa sn mkuu😄😄Da! mkuu hii kali 🤣 🤣
Ivi Manji na nduguze wapo Tanzania wasaidie ktk kampeniMbona makundi mengi sana mkuuu.
11. Bomoa bomoa ya wakazi wa kimara na kibamba.
12. Bomoa ya kinondoni mkwajuni.
13.wanafunzi 70000 wa UDOM waliofukuzwa usiku
14. Wanahari wote koz wameshindwa kuuza habari zao na kuvitangaza vyombo vyao.
15.Machinga na wajasiliamali wotewanaolipishwa 20000 kila mwaka.
Bia kusahau ukoo wa Mo,Anzory saa nane, Akwilina na ndugu za wote waliookotwa kwenye viloba. Nk nk nk
Unachafua uzi mithili ya mtu aliyechafua maji kwa kunya kwenye majiKama hamtatumia na hamtumii hii miundo mbinu hamtampa bambav
Heheee..... 🤣Labda wajinga na msiokuwa na vyeti
Hata lemutuz anaweza asimpe kura mana kanyima hata udcFamili ya mwalimu nyerere [emoji1438][emoji3603]
Unachafua uzi mithili ya mtu aliyechafua maji kwa kunya kwenye maji