Magufuli atatufikisha huku kweli kwenye hizi flying over??

Magufuli atatufikisha huku kweli kwenye hizi flying over??

Tupo kwenye mpango mkakati.. na maafisa wa wizara wameshaanza upembuzi yakinifu tumewatuma huko japani.. na tumewatengea bajeti nzuri mamilioni iliwaweze kujifunza vyema
..

hivyo basi watz wawe na subira wakati huu tunapotekeleza Ilani yetu.
 
Tupo kwenye mpango mkakati.. na maafisa wa wizara wameshaanza upembuzi yakinifu tumewatuma huko japani.. na tumewatengea bajeti nzuri mamilioni iliwaweze kujifunza vyema
..

hivyo basi watz wawe na subira wakati huu tunapotekeleza Ilani yetu.

Ilani hii hii iliyofeli miaka 50?
 
Labda tujenge mji mwingine lakini Dar haiwezekani.
 
Nilienda huko Upareni msituni network ilikua ni ya kupanda juu ya mti

We Mbwange hebu Nzhoo..! Milima au Vijilima? Wapale kwa ufupi ndio maana kijimlima kidogo huita Milima...
 
Mbona Uwanja watu wa Taifa una maflyover yakutosha?








dar.jpg
Harafu wewe una utani mbaya kwenye serious issues!
 
Daraja la manzese tuu tulilijenga kwa msaada, sembuse hizo barabara za juu.!!
 
Mwenzangu ile ni milima aiseee hiyo shengena ni mlima mwanzo mwisho
hahaha hivyo vijimilima vya Shengena ni vidogo sana hata kwenye historia haviingii... Kumbe wewe ni wa Shengena? eenh Nishafika hadi Saseni hadi Jiwe la Mjerumani alimoficha Hazina zao nilichungulia japo sikuona kitu kwa giza la ndani ya Maji...
 
umasikini unaadhari kubwa sana na nyingi ial kubwa kuliko zote ni kufilisika kimawazo namaanisha mawazo, ndoto, nia, malengo huu ni aina ya mwisho ya umasikini.

Kwani hao waliozijenga walizaliwa nazo??? au waliyakuta hayo maendeleo hapana bali waliyatesekea. na walisema inawezekana na ikawezekana.

Sasa nawashangaa waafrika wenzangu wasioamini kama huo mchanganyiko wa moram, chuma, cement, mchanga na maji hauwezekani au kwasasbabu zipo juu???

Kwa kweli mnatia huruma ila mkiongea mbele ya watoto wenu hivi ni sumu ya kutokufikiria tofauti mtawanywesha na ni mbya sana badilikeni jamani kila kitu kinawezekana hata kama hali hairuhusu kwa sasa but inawezekana ikifamywa iruhusu.

THINK BIG & AIM HIGHER.
 
Kama wanao waweka viongozi wao wenyewe wamechoka na wanaona miujiza sasa sijui waliopewa dhamana wataweza si ndo kwanza na wenyewe wanajipumzikia sababu waajiri wao wameshasema ya kuwa hawawezi
 
Wale wa jembe na nyundo wanamajibu ngoja waje watakujibu.
 
Ah wapi! Tanzania bado sana kufika huko.

Hata miaka 100 ijayo sidhani.


Hizo ni ndoto tu, kwani hata madaraja yamemshinda yanabomoka kila mvua zikinyesha!! Iwapo Dar es Salaam itafutika katika ramani ya dunia miaka 50 ijayo[ due to global warming Dar itazama] then it is obvous hizi fly- overs hata miaka million hazitakujajengwa bongo!!!
 
Back
Top Bottom