umasikini unaadhari kubwa sana na nyingi ial kubwa kuliko zote ni kufilisika kimawazo namaanisha mawazo, ndoto, nia, malengo huu ni aina ya mwisho ya umasikini.
Kwani hao waliozijenga walizaliwa nazo??? au waliyakuta hayo maendeleo hapana bali waliyatesekea. na walisema inawezekana na ikawezekana.
Sasa nawashangaa waafrika wenzangu wasioamini kama huo mchanganyiko wa moram, chuma, cement, mchanga na maji hauwezekani au kwasasbabu zipo juu???
Kwa kweli mnatia huruma ila mkiongea mbele ya watoto wenu hivi ni sumu ya kutokufikiria tofauti mtawanywesha na ni mbya sana badilikeni jamani kila kitu kinawezekana hata kama hali hairuhusu kwa sasa but inawezekana ikifamywa iruhusu.
THINK BIG & AIM HIGHER.