Nakuambia sie tusiowahi kusafiri nje ya tanzania ni hatari, mimi lazima nihisi kizunguzungu hapo bora nikipakiwa kwenye gari niwe nimefumba macho au waniweke kitambaa machoni nisione kwa njeYaani hapo ukinishusha na kibodaboda changu ndio ntachanganyikiwa kabisaa yaan ntashindwa pa kuelekea
hahaha hivyo vijimilima vya Shengena ni vidogo sana hata kwenye historia haviingii... Kumbe wewe ni wa Shengena? eenh Nishafika hadi Saseni hadi Jiwe la Mjerumani alimoficha Hazina zao nilichungulia japo sikuona kitu kwa giza la ndani ya Maji...
Hizo ni ndoto za mchana Sio Rahisi mpaka mwisho wa dunia hakuna Serikali yoyote hapo Tanzania itakayoweza kutufikisha hapa labda Rais awe ni Kipanya .
Hii serikali ya CCM itatufikisha huku kweli na mafisadi wote hawa??