Bora angemrudisha Eng MhandoRais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba.
Aidha Rais amemteua Dkt. Tito Esau Mwinuka kukaimu nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwinuka alikuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
nendeni songas, IPTL na Wattsila na TANESCO acheni hizi propaganda za kitoto..............................Ushajiuliza kwanini DR MANYAHI alijitoa kwenye bodi ya TanescoMajibu mazuri sana, yafungulie thread mpya then waambie mods wasiifute au kuiunganisha na thread nyinginezo.
Na Title iandike kwa herufi kubwa ili wadau wa JamiiForums waione kirahisi.
Ni kutafutana kwenda mbele, kule aliiondoa bodi akaiacha management, wakati management ndo iliishaur bodi. Huku anaiindoa management (DG) bodi ikibakiHuyu wa ewura hawezi kutumbuliwa kwa sababu zilizo nje ya mfumo ulioratibiwa
Hahajajajaja mkuu umenichekesha sana, ila hizi tengua teua zimezidi jamani dah!Ila Msigwa atakuwa keshaiva kwenye kuandaa barua za kutengua angeanza kumjenga na kwenye maeneo mengine
Utakubali za nani?Mtu mwenye akili hawezi kukubali hizi teuzi za huyu jamaa.
Hawezi kufanya tena hapo manake anasubiria kupangiiwa kazi nyingine katika taasisi nyingineMimi naomba mnisadie... hivi alivyotumbuliwa anaondoka Tanesco au anaendelea kuwa mfanyakazi wa Tanesco ila tu anakuwa siyo Mkurugenzi mkuu tena?
Kwan Msigwa atakapo tenguliwa,press release ataandaa nan?
Teh,nko nawaza tu.
amefanya ubunifu gani ?Dah Magufuli kumteua Mwinuka sijui kawaza nini? Kati ya sehemu ambazo hutakiwi kufanya majaribio ni Tanesco.. Kama ni kutafuta mtu pale UDSM basi Prof. Kimambo alikuwa anaweza sanaaa ila siyo Mwinuka!! Ila sasa ndo hivyo tena Kimambo anapitia Chalinze Mzee na huwa anakula pale Mombo.. humo hataki hata kuwasikia lakini Kimambo ni bonge la mbunifu!!
Sema imekuchoshaHii single imetuchosha
Wa kanda ya milimani auNimeamini, mtaisha nyote!
DG Wa EWURA hakupeleka ripoti ya mapendekezo kwa waziri mwenye dhamana ya masuala ya umeme. Ndipo coordination ilipoharibikia. I bet huyu wa Ewura nae siku zake zinahesabikaKama vile maigizo hivi...Huko Serikalini Vp? coordination ya serikali kabla ya jambo lolote haipo?