Hapa hata hahitajiki engineer ni MBA au mtaalamu yeyote wa management.Sikubaliani na wewe kampuni kama hii kuongozwa na BCom. Anatakiwa Eng aliye na MBA au Project Management.
BCom itabidi atumie muda mwingi kujifunza na ku-understand their language kabla ya kuanza kuperform. Unless awe amekuwa kwenye hii industry kwa muda mrefu.
Alikuwa anawagawia unit 700 bure kwa akina nani? Wakiume au wakike? Wasomi au makabwela? Funguka fafanua!![/QUOTE]mkuu unit700anagawa wapi sijaelewa
kwa hiyo suluhisho nikupand isha beiKubadilisha watu si suluhisho.kwa mwendo huu atamaliza nchi nzima na Umeme utaendelea kuwa kero nchi hii.
Haaaahaaaa jf mama mbavu zanguuu ! Ivi hiyo simu ni yakupiga tuu ! Nani ata mpigiaHa ha ha ha Picha ndio limeanza. On the Phone from Tetemeko..."Naniii hebu edit ile barua ya Dr. NIMR weka hili jina huyu jamaa wa TANESCO........"
Mramba ndio size yakeAnaiachaje bodi ya Tanesco sasa?anaacha kuzuia mabillion yanayolipwa kwa IPTL kila leo kwa jasho la kodi yetu anaenda kumuondoa mramba?
Aliongea kwa mbwembwe nakujinadi ametetea ilikuwa iongezeke zaidi ya hapo walivyoomba tanesco !Wa ewura alipo anapiga dua zote unazozijua wewe
Kwani muhadhiri ni sawa na mwalimu wa shule ya msingi weweSasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
cheo ni dhamana kamanda,unaweza kupokwa tu bila ya sababu yoyoteHivi kosa ni nini?
Wala suluhisho si kupandisha bei. Tunaelezwa kila siku hapa tanesco wameingia mikataba ya kifisadi na uendeshaji mzima wa shirika upo kwa maslahi ya vigogo leo mnakuja kumfukuza kazi mramba.kwa hiyo suluhisho nikupand isha bei
Dah... Unadhani anapowateua huwa Hawapi majukumu yao? [emoji13] [emoji13]Mtumbuaji asiishie kutumbua tu Bali apamlike Kwa jicho la pili
Rais anatembea na mwandishi wake wa habari popote aendapo,hakuna haja ya simu ni papo kwa papoHa ha ha ha Picha ndio limeanza. On the Phone from Tetemeko..."Naniii hebu edit ile barua ya Dr. NIMR weka hili jina huyu jamaa wa TANESCO........"
Hawataisha wako wengi tu. Siku hizi PhD watu wengi tu wanazipata. Wengine wana PhD tatu au zaidi kwa mtu mmoja. Enzi za kuwapa watu madaraka makubwa ilihali kisomo chao ni duni kimepitwa na wakati. Haiingii akilini mtu ana kashahada kamoja tu ka umeme anapewa shirika kubwa la umeme kama la TANESCO wakati kuna mamia ya watu walio na ma PhD ya umeme? Hakuna cha godfather siku hizi. Godfather ni kisomo chako na hasa PhD yako. Tanzania ina bahati, kwa mara ya kwanza tumepata rais mwenye PhD (original siyo Hon.) tena ya sayansi, siyo sanaa.Sasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
Acha kuhamisha magoli wewe.aliekutwa na ngozi ndie alieuwa chuiWala suluhisho si kupandisha bei. Tunaelezwa kila siku hapa tanesco wameingia mikataba ya kifisadi na uendeshaji mzima wa shirika upo kwa maslahi ya vigogo leo mnakuja kumfukuza kazi mramba.
Kwanini msiwakamate wakina IPTL na wale wazee wa escrow account wanaendelea kuchota mabilioni kila dakika?