Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Acha kuwaza kwa kutumia kampeni za mwaka jana
 
IPPs fell from heaven? Nikuombe tena ujadili hoja zangu zote kama nilivyoziwasilisha.
 
"Wakuu wa TANESCO hawapaswi kulipana bonus kila mwisho wa mwaka kiasi cha kufikia Tzs. 60m/- kwa mtu mmoja wakati shirika linashindwa kujiendesha isipokuwa kwa kupandisha bei ya Umeme."

Next iwe board iliyoidhinia kulipana huko.
***
we kijana unaakili wewe ngoja nikachukue kigoda Changu nije hapa kukusikiliza....
 
Ipo siku jamaa atatengua maamuzi ya refa uwanjani hakyanani.
 
Naona kaamua kuweka Mhaya ila kwa dkt. Mwinuka ndo kachemsha moja kwa moja!! Namfahamu Mwinuka tena sana.
WACHA MAJUNGU TOA DATA KAMILI ZA WAZI,HUO NI WIVU WAKO HAUFIKI POPOTE FANYA KAZI TU !
 
Hata mimi nimefurahi. Nakumbuka kipindi kile cha kampeni umeme ulikuwa unakatika sana. Nahisi Mramba alikuwa anamhujumu JPM! Kumbe JPM ana macho!
 
Sasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
Siyo mbaya academia kupewa nafasi za kuweka usomi wao katika vitendo. Mataifa kama Marekani ni kitu cha kawaida. Tatizo ni hawa wasomi wetu wakiishatoka vyuoni hawataki kurudi tena kurudisha uzoefu wao kwa faida ya wanafunzi na usomi kwa ujumla.
safi magufuli mramba alikuwa anapwaya sana

huwezi gawa unit 700 bure bure kwa shirika linalopata hasara...

Mchawi wa Tanesco ni Tanesco mwenyewe... Magufuli Hajaliona hili?

mramba ni jipu kubwa sana
 

Naangalia taarifa ya habari ITV naona Mheshimiwa anaongea ni wazi kuwa ongezeko limemuondoa jirani yangu Mramba.
Ewura wajiandae.
 
Rais wetu noma yaani anakula kichwa mpaka sikukuu?
 
Huyu alikuwa mmoja wa watu waadilifu kwenye hii nchi. Na uchafu wa wakina muhongo nashangaa hawa watendaji wanawezaje kufanya kazi
Hapa kuna double standard zinatumika. Nchi inaendeshwa kikanda,kikabila na kidini.

Matamko karubia asilimia kubwa yanatolewa makanisani, je nyumba za zimekuwa majukwaa ya kisiasa kwa utawala huu?

Tanzania haitaendelea kwa utawala huu wa milipuko.
 
Je! Hakukua na mtu wa kukai.u kutokea hapo TANESCO mwenye uzoefu na shirika na weledi wa kazi mpaka ateuliwe mhadhiri toka chuo kikuu!
 
Kwa mwendo huu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kitachuja.
Wataalam wote wakongwe wanateuliwa [emoji30] [emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…