Synonyms means - "the same or nearly the same".
Hivyo Tanesco ina ukaribu na serikali kwa maana ya kuisaidia au kufanya kazi kwa niaba ya serikali katika sera ya nishati kupitia wizara ya nishati na madini.
Lakini, hiyo haimaanishi kwamba Tanesco ndiyo serikali kwa maana kwamba wanaweza kujiamulia watakavyo.
Raisi JPM alipokuwa akifungua mtambo wa gesi wa Kinyerezi katikati ya mwaka jana alitoa agizo (directive) kwa Tanesco (Mramba) kwamba wasiingie mikataba ingine au mipya au kuiongeza muda kwa IPPs.
Na alisema wazi kwamba hii mikataba ni mwanya wa IPPs kuwakamua wnanchi wa hali ya chini kupitia upandishaji bei ya umeme.
Sasa hata kama wewe ni CEO wa taasisi kama Tanesco, si lazima ukumbuke kuna Serikali?