Unafahamu process ya kupandisha umeme unakuwaje?Hii serikali mbona inafanya watu wote kama hatuna akili. kuhusu kupandisha kwa bei mbona EWURA waliweka kila kitu public?? Kwann serikali isiingilie kati toka wakati ule???. Yan Jan Mos imefika maamuzi ya mlipulipuko yanafanyika as if ndo serikali yote imejua jana kwamba bei ya umeme itapanda. Hapa ndipo serikali ya Mtukufu Rais inapopofanya siasa wakati ndugu zangu wa Upinzani wanapigwa mikwara kila leo. Hiz ni siasa uchwara.[HASHTAG]#SerikaliYaMilipuko[/HASHTAG].
Yes hatua ya public hearing imefanyika, je waziri husika alipewa taarifa?