Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Maamuzi yanayotolewa yanaonyesha kabisa hakuna mawasiliano kati ya Raisi na watendaji wake Kwa nini Raisi asiwe anafanya vikao na watendaji wake kuwaonyesha/kuwaeleza anachokitaka kuliko kusubiri wanavyokosea na kuwatumbua ?
Unafikiri huu utaratibu wa kuwavizia wanapokea na kuwatumbua utamsaidia Raisi ?

Kwahio kwa mfano kama Mramba aliambiwa asiendelee na mkataba na Symbion ambao wanataka pesa yao iwe wamezalisha umeme au hawajazalisha.

Je ameshauriana vipi na waziri kuhusu hili la kuongeza bei ya umeme hata baada ya kupeleka maombi EWURA?

Inaonekana amekikuka maagizo ya raisi kwa kwenda EWURA moja kwa moja kwamba liwalo na liwe licha ya kuagizwa pale Kinyerezi mwaka jana.

Au wewe umeelewaje kwenye hili?
 
Bwana Mramba tayari umepita katika nun-return valve inabidi uendelee tu na process ya waliotumbuliwa. There is no backward motion here!
Ni vizuri Mramba umewaonyesha watanzania kuwa rais na muhongo ni waongo na wapotoshaji eti hawakushirikishwa. Sometimes it is better to "die a man"
 
Huwa siwezi kumwelimisha mtu mwenye upeo mdogo wa kufikiri kama wewe siku nyingine usiwe unajipendekeza unarept coment zangu.

Kuna kitufe Ku block
Wacha ujinga
Wewe ndiye mwenye upeo mdogo
Unamuogopa Mbowe kuliko munguwako!!?
Uko tayari kuwa mnafiki ,mzandiki na muongo kuunga ujinga wa mbowe bila kuogopa mungu anakuona!!

Kutwa kukosoa hata yasiyo kosolewa

Nakuambia tena nenda kablock I'd yangu
Sivyo Nita reply Leo na kesho ugoro wako
 
We Mramba huna mapenzi na watanzania, huwezi kupandisha umeme kwa kigezo cha kupanua Huduma, uzalishaji na usambazaji wakati kuna bajeti ya serikali inaenda wapi?
 
Unafahamu process ya kupandisha umeme unakuwaje?
Yes hatua ya public hearing imefanyika, je waziri husika alipewa taarifa?

Hii barua ni ya lin?? Kwann wasikatae kupanda kwa bei toka kipind hicho???
IMG-20170101-WA0035.jpg
 
Uamzi mzuri sana huu
Siwaelewi mijitu humu huwa inalalamika kuhusu tanesco alafu leo eti Eng. Mramba ambaye ndo alikuwa kichwa cha tanesco watu wanaona kaonewa, JPM hapa mi naona kachelewa sana kutengua huu uteuzi.
 
Waliopandish

Waliopandisha bei ni Tanesco au EWURA!!?

Alikuwa anatafutiwa sababu tu!! Inge make a bit of sense kama waliwahusisha Ewura angetumbuliwa pia!
subiri usiwe na kihelehele km kuku mtagaji mkulu anaenda kwa awamu
 
Sikubaliani na wewe kampuni kama hii kuongozwa na BCom. Anatakiwa Eng aliye na MBA au Project Management.

BCom itabidi atumie muda mwingi kujifunza na ku-understand their language kabla ya kuanza kuperform. Unless awe amekuwa kwenye hii industry kwa muda mrefu.
Umemaliza Kila kitu Mkuu...ni kweli kabisa but sio Phd.
Awe Engineer mwenye MBA OR PROJECT Mgt na uzoefu kwenye sector ya nishati....Au unique character za Uzoefu wa Muda mrefu kwenye hiyo sector na Masters.yaani amefanya nini kwenye fani yake....angalia CV za PRIVATE COMPANY NYINGI....CHECKI CV za "CEOs roundtable" tukubali ukweli Private sector wanafanya vizuri tena kwa ushindani wa hali JUU NA UBUNIFU.
Tuchukue yale mazuri toka huko.
 
Kuna shida kubwa sana awamu hii ya Kiuongozi nadhani ushauri wa wanaotoa ushauri haukubaliki au wanaogopa kumshauri Rais na Serikali yake.
Tunapata aibu sana kwa viongozi kupishana kwa kauli kila wakati huyu anasema Yes Yule anasema NO...watu wanaruka na kukanyagana, 'Lack of Leadership Management'.
Ni kweli kuwa hakuna Mtz. mwenye akili timamu atakaye kubali gharama za umeme kupanda ila SHIDA NI VIONGOZI KUKOSA KAULI MOJA NA USHIRIKIANO KILA MTU NA KAULI YAKE NA MWISHO NI AIBU TUPU KWA TAIFA NA KIMATAIFA.
HATIMAYE WANAKUJA NA MAAMUZI YAO MARA KUTENGUA AU KUTIMBUA....NADHANI KUNA POLITICAL GAME/COMEDY HAPA INACHEZWA NCHI IMEKUWA IKIONGOZWA NA MATUKIO TU KILA KUKICHA....ANYWAY WASIJE SEMA MIE MCHOCHEZI NGOJA WAFU WAZIKANE WENYEWE SISI YETU MACHO.
NI SAWA GHARAMA ZA UMEME HAZITAKIWI KUPANDA BEI ILA KUNA SHIDAY YA KIUONGOZI HAPA KWA KAULI HIZI ZA VIONGOZI KILA MTU NA YAKE UTADHANI HAWAJENGI NYBA MOJA KILA MTU HUGOMBEA FITO,JE NYUMBA ITAJENGWA KWELI HIVI HUU NI MWAKA WA PILI KWA AWAMU YA 5 HAKUNA JIPYA NA YALIYOTEGEMEWA NI TIFAUTI KABISAA.
 
Ukanda kazini,tatizo upande alotoka Mramba hata ivo kaviziw sana
 
Umenena sawa kabisa Mkuu watu wanafikiri eti ukiwa Na Phd au unnaweza kila kitu....jama hawajifunzi Private sector Nchini na hata Duniani zinavyofanya vizuri????? only CVs....not Academician....Au angalia CV za "CEOs roundtables" wana basic degree then uzoefu labda kidogo na Masters....but uzoefu mwingi kwenye eneo lake....kifupi ni amefanya nini kwenye sector husika...
hivi ECSE Ni nini Mkuu??
Povu jiiingiii halafu hata maana ya ECSE hujui? Sasa umejiingiza vipi kwenye mjadala usioujua?
 
Huyu ndiye kabariki ongezeko la gharama kwa kushindwa kuikatalia Tanesco kwa masilahi ya wananchi.
Hilo nalo nenooo maana TRA mwenyekiti wa bodi alitumbuliwa kwa bodi kubariki fedha za TRA kuwekwa fixed deposit na kamishina mkuu akaachwa sasa huku katimuliwa aliyeomba aliyeruhusu kaachwa
 
Back
Top Bottom